Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Katika generation tuliyopo ndoa ni concept ambayo ishapitwa na wakati. Mwanamke akiitetea ndoa kidogo nitamuelewa kwa sababu inalinda masilahi yake, lakini kwa upande wa mwanaume kwa maisha ya sasa ndoa haina maana tenaHapa tulipofikia khamusi iedit maana ya Ndoa iilete kwenye Uhalifu.
Kwanza tuwa fungulie kesi ya udhalilishaji ugonjwa wa mtu siri why ana tangazaEee Kaka ,hata leo nimepita mitaa yao namsikia mwenziye anasema kibo yule na kigari chake 🙃
No sina hasira brohamna bro, ili kupunguza HA$IRA bora iwe hivyo. sasa mwanamke una malengo nae na umeWEKEZA vya kutosha kwake, alafu anakufanyia madharau!? kama hayo? kweli? Potelea karibu, acha iwe hivyo.
Acha ufara basiKaka wewe hujawai cheat?
Huwa mnavyosema 'Piga chini' hivi watu huwa wanapigwa chini kirahisi tu kumbe?
Unakosea Sasa Mimi si mgonjwa ,ni kipigo mkononi kilipelekea nikose meno mshikajiKwanza tuwa fungulie kesi ya udhalilishaji ugonjwa wa mtu siri why ana tangaza
Hili sio swali ni kumtukania kama yake.Ujajibu swali mama yako alifunga ndoa na bikra?
Duh pole sana mkuu achana na ndoa mkuu tafuta kadada kako unamtafuta ukiwa na shida zako tu unamaliza haja unapita hiviUnakosea Sasa Mimi si mgonjwa ,ni kipigo mkononi kilipelekea nikose meno mshikaji
Hivi punyeto haiwezi kufaa?Duh pole sana mkuu achana na ndoa mkuu tafuta kadada kako unamtafuta ukiwa na shida zako tu unamaliza haja unapita hivi
Mike we si Dr mnasema ina effect? 🤔Hivi punyeto haiwezi kufaa?
Mkuu, kwaio na wewe ni kataa ndoa a.k.a Tunza kibundaKabisa nakuunga mkono mkuu.
Sure mkuu hilo chama mimi ni mtunza fedhaMkuu, kwaio na wewe ni kataa ndoa a.k.a Tunza kibunda
Dokta upande wetu huu Kaka ni kweli ,ila kuhusu punyeto nimeshindwa kudhibitisha ukweli wa madhara maana wapo niliowaona wakifanya hivyo na wako sawa na wengine hawako sawa hivyo nimejikuta Kati KatiMike we si Dr mnasema ina effect? 🤔
Haaahaa 😅Sure mkuu hilo chama mimi ni mtunza fedha
Punguza hasira, kwani Mama yake wakati anafunga ndoa yeye alikuwepo!? Mbona hilo swali siyo lake kabisa unataka tu kumuonea, yeye muulize kesha toa bikira ngapi hadi sasa!!?Ujajibu swali mama yako alifunga ndoa na bikra?
Nimeitikia witoStronger Together 💪
Kuna wengine wanayaweza kupigwa matukio kama hayo kwao sio shidaAkimsamehe huyo mwanamke jamaa atajuta.