Baadhi ya wanawake wana mambo ya ovyo. Ebu mnishauri cha kufanya hapa kabla sijaushangaza ulimwengu

Unasema hunaga time na simu yake, ila yeye anachukua ya kwako..!!!

When you see a horse 🐎 coming with nobody on it, Don't rejoice you have gotten a gift. First confirm what happened to the rider..🏇

Uaminifu haupimwi kwa imani tu, lazima uhakikishe na uthibitishe.
 
Halafu jamaa linaonekana linampiga demu pipe vizuri,maana demu anaonekana yuko deep sana kwa jamaa.yaelekea huko nyuma jamaa liliwahi mzingua demu wakashindwana sahivi ndio limerudisha majeshi.
 
Simu yake ipo TU na haina mambo mengi na kikubwa yupo busy na ulezi wa mtoto...moto anapelekewa wa kutosha...sizani Kama Kuna anything fish outside.
Malezi,elimu ,dini, tamaduni hutushepu kuwa vile tulivyo ndio maana tupo tofauti ki tofauti.
 
Halafu jamaa linaonekana linampiga demu pipe vizuri,maana demu anaonekana yuko deep sana kwa jamaa.yaelekea huko nyuma jamaa liliwahi mzingua demu wakashindwana sahivi ndio limerudisha majeshi.
TAMADUNI MUSIC.

Yasikie kwa jirani omba yasikukute all in all binadamu kaumbiwa kusahau.
 
😂😂😂We humtakii mema huyu Mwanamke unataka achomwe kisu.
 
Mpigie Ex wake ampokee wewe mpe nauli aende kwa ex wake . Akiondola make sure harusi tena
 
Yeye hajawahi kusaliti 😹
Atulie ashushe temper walee watoto hao..!!
Ukute hapo ana michepuko kama yote halafu hii Id ipo kwenye ule uzi wa kula tunda kimasihara kama sikosei😂😂😂🤸🏿‍♀️

Hivi Shangazi yako kapotea wapi mbona simuoni tena jukwaani😁
 
Ukute hapo ana michepuko kama yote halafu hii Id ipo kwenye ule uzi wa kula tunda kimasihara kama sikosei😂😂😂🤸🏿‍♀️

Hivi Shangazi yako kapotea wapi mbona simuoni tena jukwaani😁
😹😹 Kumbe?!
Naye wamemlia kimasihara mkewe analalamika nini sasa?? 🤣

Auntie bhana yupo maternity si unajua penzi lilirudi na blessing nyingi 😹😹
Auntie akachukua mimba kwa uwezo wa roho mtaka fujo 🤣
 
Brother usijitese kumbuka amesema "alikuwa anamkazia kipindi ndoa ni changa" kwa ushauri tu ndugu ili usipunguze siku zako za kula raha za dunia hii acha na Hugo mwanamke
 
Karibu chaman
 
We bado unawaamini wanawake mzee
Ao kama kile chama tu
mitano tena
Sahani kwenye mgahawa nikitumia mimi ama yule inaoshwa halafu wewe unanapakuliwa chakula,

Vile vile ikitumika inaoshwa vizuri halafu unapakuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…