Baadhi ya wanawake wana mambo ya ovyo. Ebu mnishauri cha kufanya hapa kabla sijaushangaza ulimwengu

Baadhi ya wanawake wana mambo ya ovyo. Ebu mnishauri cha kufanya hapa kabla sijaushangaza ulimwengu

Hivi hawa wanawake zetu huwa hata wanatuonea huruma kweli jinsi tunavyowahangaikia wao waishi vizuri?
Huwa sina kawaida ya kushika simu yake ila sijui nini usiku huu kimenituma niishike na kuikagua.
Na hiki ndicho nilichokikuta.

Sijamsemesha chochote mpaka sasa niko macho tu natafakari.a
Alikuwa anachat na ex wake hapo, kuna mengi nimeyaona kwenye chatting zao lkn hili limenishangaza.

Naomba mnipe busara zenu ebu

View attachment 3226457
baki na huyohuyo, ukimwacha ukaoa mwingine unaweza pigwa events za kukufanya uwe chizi, bse huna uwezo wakumjua next lady ata-behave vipi
 
Mnavyo angaikia bikra iyo mama zenu wali funga ndoa na bikra zao?
Mbona hasira ivyo jamani,yaani ukweli utabakia kuwa ukweli hata Kama dunia nzima unaiona Kama ni uwongo, yaani mama zako kutokuwa na bikra ndio ihalalishe Mana ya bikra kweli, jiulize why uliumbwa nayo, na je kwa nini unalazimisha mme wako awe na pesa kwani baba yako alikuwa nazo. Mwanaume kwako anahitaji mwili wako uwe safi na wewe unahitaji matunzo ,mbona unakasirika ama umeshatolewa na hujaolewa bado,pole Kama hunayo, so Mungu inabidi auumbe upya aitoe iyo bikra, jinsi unavyojisikia ufahari moyoni kwa mmeo kukuhudumia ndivyo na yeye anajisikia ufahari kuwa na mwili ambao hakuwahi kiguswa na mwanaume mwingine, pia njia ya watt wake haijakojolewa na mikojo ya Kila aina
 
Kosa moja haliachi mke, vumilia ndo ukubwa huo 😹

Cha kufanya wewe mtafute huyo x wake muulize malinda yake anayapenda??

Kugongewa mke kunauma coz umewekeza muda na pesa zako kwake, halafu unakuta kwako chuma mboga hakupi anakwambia mgongo unamuuma, ila kwa ex anabinuka haswaah na anatwerk bila kuombwa 😹😹😹

Nilisahau na ikichomoka kabla hajairudishia kwanza anailamba cone ndo anairudisha..!! 😹😹
Kwako ikichomoka anaacha uirudishie mwenyewe 🤣 OLE WAKO UMUACHE MI NATANIA HAPA 🏃‍♀️
 
Watu wanaongea tu hapa kwasababu hayajawakuta. Yakiwakuta wananywea hakuna lolote wanafanya
Ya kwamba umegundua unaishi na mzinzi ndani alafu unywee na ukae kimia?
 
Ya kwamba umegundua unaishi na mzinzi ndani alafu unywee na ukae kimia?
Huwezi kukaa kimya lazima uongee na uonyeshe hasira. Lakini wengine wanavyosema ampige chini kwenye uhalisia mara nyingi haipo hivyo. Wengi tu wanasamehe na kuendelea na maisha
 
Hivi hawa wanawake zetu huwa hata wanatuonea huruma kweli jinsi tunavyowahangaikia wao waishi vizuri? Huwa sina kawaida ya kushika simu yake ila sijui nini usiku huu kimenituma niishike na kuikagua. Na hiki ndicho nilichokikuta.

Sijamsemesha chochote mpaka sasa niko macho tu natafakari. Alikuwa anachat na ex wake hapo, kuna mengi nimeyaona kwenye chatting zao lkn hili limenishangaza.

Naomba mnipe busara zenu ebu.

View attachment 3226517View attachment 3226518View attachment 3226519

Kwa hili Mimi nakushauri tuliza akili na potezea Tu! Mweleze ukweli Kwa upole Labda anaweza badilika maana hakuna binadamu aliyekamilika! Na usilogwe kumtafuta mwanamke mwingine eti ku-revenge utakuja juta! Kwani itakuwa NI kujiongezea matatizo mapya!
 
Huwezi kukaa kimya lazima uongee na uonyeshe hasira. Lakini wengine wanavyosema ampige chini kwenye uhalisia mara nyingi haipo hivyo. Wengi tu wanasamehe na kuendelea na maisha
Suala la kusamehe na kutosamehe linafuatana mtu ulie mfanyia hicho kitendo ni wa namna gani.
Wengine kukupiga chini tu ana hakikisha ana kupeleka kaburini kabisa.
 
Suala la kusamehe na kutosamehe linafuatana mtu ulie mfanyia hicho kitendo ni wa namna gani.
Wengine kukupiga chini tu ana hakikisha ana kupeleka kaburini kabisa.
Hata ukimpeleka kaburini machungu ya kugongewa yataendelea kukutesa milele na milele amina
 
Back
Top Bottom