KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Inawezekana hata ameshaanza kumla au hapo ndio siku hiyo ametoka kumla...kwa hiyo kwenye kusherehesha maongezi ndio ikawa hivyoKwa wale mnaotaka kujua hii conversation ilikuaje;
Me: "...hahaaa ivi unajua ww una vituko sana?"
Ke: "vituko gan ss bby"
Me: "we kwann ulinikazia sana kule mwanzoni?"
(Hapa weka hiyo msg kwenye uzi)
Me: "ahaa sawaa.. ujue nilianza kuhisi labda unataka kunichinjia baharini!"
Ke: "amnaa.. ilikua ni lazima niweke mazingira vizuri kwanza jamaa asije akashtuka"
Me: "hapo sawa, nimekuelewa. Kwahiyo lini tena tunaonana? "
Ke: "ngoja tuone weekend hii"
Me: "ok"
Ke: "jamaa amerudi, usitume tena msg. Bye"
Me: