Baadhi ya wanawake wana mambo ya ovyo. Ebu mnishauri cha kufanya hapa kabla sijaushangaza ulimwengu

Baadhi ya wanawake wana mambo ya ovyo. Ebu mnishauri cha kufanya hapa kabla sijaushangaza ulimwengu

Hivi hawa wanawake zetu huwa hata wanatuonea huruma kweli jinsi tunavyowahangaikia wao waishi vizuri?
Huwa sina kawaida ya kushika simu yake ila sijui nini usiku huu kimenituma niishike na kuikagua.
Na hiki ndicho nilichokikuta.

Sijamsemesha chochote mpaka sasa niko macho tu natafakari.a
Alikuwa anachat na ex wake hapo, kuna mengi nimeyaona kwenye chatting zao lkn hili limenishangaza.

Naomba mnipe busara zenu ebu

View attachment 3226457
Soma hapa Thread 'Njia ambazo Mwanaume anaweza kukabiliana na maudhi/ vitimbi vya Wanawake ndani ya familia' Njia ambazo Mwanaume anaweza kukabiliana na maudhi/ vitimbi vya Wanawake ndani ya familia
 
Mkifanya nyie sawa, akifanya mwanamke ni Mbaya.
Mwanaume ndo anaye beba na kuwekeza nguvu zake mpaka saa nyingine kuweka roho yake rehani ili mke na watoto waweze kuishi.
Ukiwa na mwanamke ndani ni sawa na kuwa na mtoto ndani maana una jukumu la kumfanyia kila kitu tena unamfanyia hivyo chini ya shinikizo la kisheria za nchi na za kidini.
Tena bora hata mtoto utamtunza kwa muda akisha kuwa ataobdoka na kujitegemea lakini mkeo una jukumu la kumtunza mpaka ana ingia kaburini.

Sasa haiwezekani mimi nashinda juani nikisukuma mikokoteni ,nikilima vibarua, nikikoswakoswa na magari mjini,saa nyingine nikilazwa ndani ili nitafute pesa ya kukunulia mahitaji yanayo hitajika ,wakati huo yeye yupo nyumbani kazi yake ni kukaa kwenye sofa na rimoti kubadilisha tamthiria ,alafu eti nikukute na kidume uniletee story za hata ww huwa una chepuka aisee hakuna rangi utaacha kuiona.
 
Nielezee ulivyo elewa wewe?

Mwanamke lazima mwanamke amshike mkono.. Maana wanaume mumezidi
Mkuu acha kujitoa ufahamu hiyo mesege ni umeilewa tafsiri yake ila kwasababu ni mwanamke mwenzio unajaribu kuprotect.
Hapo ana maanisha kuwa alikuwa ana mkazia mwanzo ili kumpumbaza mmewe aone ameoa mwanamke wa maana na muaminifu hivyo hiyo kazi imekamilika kwa hiyo waendeleze mambo yao kama kawaida.
Ila kwasababu Mungu hapendi unafiki ameamua kumuumbua.
 
Hivi ndoa za zamani hazikua na haya mambo? Au kwa sababu teknolojia imekua na tumekua na access kubwa ya information sasa tunayaona? Au wazee waliotangulia nao waliyaona ila walikua wanakaza moyo tu? Why now? Kila siku kuna habari ya kuumizwa tu na wamama!
 
Hivi hawa wanawake zetu huwa hata wanatuonea huruma kweli jinsi tunavyowahangaikia wao waishi vizuri?
Huwa sina kawaida ya kushika simu yake ila sijui nini usiku huu kimenituma niishike na kuikagua.
Na hiki ndicho nilichokikuta.

Sijamsemesha chochote mpaka sasa niko macho tu natafakari.a
Alikuwa anachat na ex wake hapo, kuna mengi nimeyaona kwenye chatting zao lkn hili limenishangaza.

Naomba mnipe busara zenu ebu

View attachment 3226457
***** umeoa mke wa mtu........ 😱 😡
 
Kwanini akazie bikra pilu hajui historia ya wazazi wake?
Kwani ww maisha aliyo ishi mama yako ndo unayo ishi ww kwa sasa?
Au vipaumbele vya mama yako alipo kuwa msichana kama ww ndo vipaumbele vyako sasa hivi?
Kila mtu ana mtazamo wake na vipaumbele vyake yeye kipaumbele chake kama ni kuoa bikra hana kosa lolote kwa sababu hicho ndo kitampa amani na furaha.
Ww hasira zako za kutokuwa na bikra hukutakiwa kuzimalizia kwa kutoa kejeli dhidi ya wazazi wa wengine maana hiyo bikra hukutolewa kwa kubakwa bali ulitanua miguu mwenyewe huna haja ya kukasirikia watu wakati maisha uliyakosea mwenyewe.
 
Hii picha imeonyesha uhalisia kabisa wa wabongo,hakika wanasema mbogo mpe picha tu atakupa headline mpk hitimisho ya story utafikiri alikuwepo,mkuu akili kumkichwa huku utaongeza stress tu hakuna kitu kizuri kama communication kwenye mahusiano,mwite mwenzi wako mkae chini mweke mambo sawa nyeusi iwe nyeusi na nyeupe iwe nyeupe
Acha kutetea uozo mkuu hiyo mesege hata ukimpa mtoto wa darasa 3 ataelewa nini huyo mwanamke alikuwa ana maanisha.
Mkiolewa tilieni kwenye ndoa muache umalaya hao ma ex wenu wangekuwa wanawapenda wangewaoa.
 
Usimfanye chochote kwa sababu unaweza kuishia jela, mwambie tu meseji yako nimeiona, wala usibishane naye sana. ''inaonekana walishakulana''

Kiufupi, tafuta mchepuko nje mpe ujauzito maisha yasogee.​
Unapenda kuzaa zaa nje wewe mzee watoto kirundo ndio mana umefilisika. Ushaenda kijijini?
 
Acha kutetea uozo mkuu hiyo mesege hata ukimpa mtoto wa darasa 3 ataelewa nini huyo mwanamke alikuwa ana maanisha.
Mkiolewa tilieni kwenye ndoa muache umalaya hao ma ex wenu wangekuwa wanawapenda wangewaoa.
Hakuna sehemu nimetetea umalaya punguza mihemuko kijana
 
Huwa mnavyosema 'Piga chini' hivi watu huwa wanapigwa chini kirahisi tu kumbe?
Watu wanaongea tu hapa kwasababu hayajawakuta. Yakiwakuta wananywea hakuna lolote wanafanya
 
Back
Top Bottom