Wanawake wengi wanaonyesha heshima (wengine wanatafsiri kama upendo) kwa waume zao kwa sababu WANAWAOGOPA waume zao tu. Na uoga huo inaweza kuwa ni hofu ya kuachwa na repercussions zake (kukosa uhakika wa kuishi na kumudu maisha bila mume, kukaa mbali na watoto, aibu ya kuachika etc etc)
The moment hofu ile inapoondoka tu (i.e pale anapopata uhakika wa kuweza kudunda na kusurvive confortably bila uwepo wa mume), unaweza kuonyeshwa dharau na kiburi cha ajabu sana ambacho hujawahi kuona maisha yako yote.
Ndio maana inabidi uishi nae kama mshikaji tu ambae umemhold kwako akiwa anasoma chuo..
Maana siku zake za masomo zikiisha hatohitaji kuendelea kuishi tena kwako.
Na kwa mwanamke kibaya zaidi ni pale atakapohitaji kupata kibali kwa walimwengu machoni pao ili wasimtafsiri vibaya kwa uamuzi wake..yaani usishangae akakusingizia mambo mengi kama vile Nyie hamjui nayopitia kwenye ndoa yangu and so on.
Ndio maana mimi nikikutana na mwanamke ambae ni mzuri sana akaanza kunieleza habari za yeye kuondoka ama kutaka kuondoka kwa mumewe huwa nachofanya cha kwanza ni kumuongezea body count kwanza kisha namuweka reserve zone!! Ile kama uko available naendelea kukutafuna but kama umeendelea na mambo yako nenda salama..
Maana nimegundua hata umshawishi vipi hatokusikiliza zaidi atakuona wewe na mumewe ni wale wale.
Kwani yeye wakati huo anachohitaji ni zone yake mwenyewe yaani awe huru kulalalwa na mwanaume yeyote akiamini kuwa atatokea mtu bora zaidi ya mume wake regerdless of her age..
Sasa mimi huwa namuanzishia vagi lililoko huku mtaani ili ajute afaidi uhuru wake.. na dudu likimkolea na hivi ni new thing kwake anachanganyikiwa ajabu anaanza kuomba nimuoe tena anasahau kuwa amaikimbia au anataka kuitema ndoa yake ili awe huru..wonderful thing ni kwamba,,
Wanawake wengi hutaka afanye ufuska nje na ndoa aendelee kuimiliki sasa akiona you are not ready for that,, hapo ndipo mzaeee utaonwa war yenye hujawahi onwa before.