Baadhi ya wanga ni watumwa na wapagazi

No need of apologies Bro. Let bygones be bygones. Thank you [emoji1488] so much [emoji1417]
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1548][emoji1548][emoji1548]
 
Reactions: BAK
Asante nilihadihiwa na mtukuu wa wanajeshiwa vita vya pili walienda burma na waliweza kuja kusalimianfamilia za kwa just kufumba macho na wakafika mbulu wanakaa na familiazo wanawahadisia yanayoendeleo huko vitani
Wacha weeee hiii na mimi naitaka nikifumba tu niwe ndani kwa pisi kali
 
1. Kumumunya kibonge kimoja na kukinenea ulinzi, vikwazo mafanikio, kinga nk
2.Kushika chumvi mkononi kuinenea na kuirusha mbele
3. Kuchukua kibonge cha chumvi kiweke kwenye soksi au kiatu mguu wa kulia na hakikisha ukitoka ndio utangulie
Mkuu hii no 3 unakiweka bila kukinenea chochote
 
1. Kumumunya kibonge kimoja na kukinenea ulinzi, vikwazo mafanikio, kinga nk
2.Kushika chumvi mkononi kuinenea na kuirusha mbele
3. Kuchukua kibonge cha chumvi kiweke kwenye soksi au kiatu mguu wa kulia na hakikisha ukitoka ndio utangulie
Huo ni ushirikina nao
 
@Mshana Jr ni mtu hatari sana [emoji120][emoji120]
 
Sasa mshana mlima kitonga alafu usiku unafanya nini uko porini aiseee???
 
1. Kumumunya kibonge kimoja na kukinenea ulinzi, vikwazo mafanikio, kinga nk
2.Kushika chumvi mkononi kuinenea na kuirusha mbele
3. Kuchukua kibonge cha chumvi kiweke kwenye soksi au kiatu mguu wa kulia na hakikisha ukitoka ndio utangulie
Aaah umetupiga Mzee!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…