Baadhi ya wanga ni watumwa na wapagazi

Mshana mimi walinifanyia ya kuwa chizi ili nimetoboa wamenishindwa eti watu wananiàmbia huwa inajirudia tena mkuu je ni kweli au niwe nafanya maombi tu
 
Una umri gani wewe?

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Sasa hapo mshana si ndo kuamini chumvi na kutomuamini mungu, Hiyo ni kimshirikisha mungu, Yani wewe una amini kazi ya mungu ifanywe na chumvi kweli, camon get serious, Uliposema tutangulize maombi nilikuelewa sana
1. Kumumunya kibonge kimoja na kukinenea ulinzi, vikwazo mafanikio, kinga nk
2.Kushika chumvi mkononi kuinenea na kuirusha mbele
3. Kuchukua kibonge cha chumvi kiweke kwenye soksi au kiatu mguu wa kulia na hakikisha ukitoka ndio utangulie
 
Mshana mimi walinifanyia ya kuwa chizi ili nimetoboa wamenishindwa eti watu wananiàmbia huwa inajirudia tena mkuu je ni kweli au niwe nafanya maombi tu
Pole sana uliponaje? Mshike sana Mungu na zingatia sana maombi
 
Hakuna mchawi aliyewahi kustaafu, once a witch always a witch. Yale makufuru mnayofanya kujiunga na uchawi hayasameheki mbinguni wala duniani, ni moto wa milele tu
Natambua umepotoka pakubwa lakini si kosa lako unahitaji kuelimishwa kwa upole na kwa hekima.. Kumbuka chini ya jua hakuna kidumucho milele..! Kila chenye mwanzo huwa na mwisho
Neno la Mungu linasema Ijapokuwa dhambi zako ni nyekundu kama bendera, yeye atazisafisha ziwe kama theluji...Ya kale yamepita na tazama yamekuwa mapya!
 
Sasa hapo mshana si ndo kuamini chumvi na kutomuamini mungu, Hiyo ni kimshirikisha mungu, Yani wewe una amini kazi ya mungu ifanywe na chumvi kweli, camon get serious, Uliposema tutangulize maombi nilikuelewa sana
Tunapoumwa hatukai tu nyumbani na kufanya maombi bali huenda hospital na kumuomba Mungu ampe kibali daktari cha kulitambua tatizo na kutupa tiba sahihi.. Halafu alete uponyaji kupitia dawa
Tunapotaka kusafiri hatufanyi tu maombi na kukaa nyumbani, bali tunaiombea barabara isafishwe kwa damu ya Kristo, tunamuombea dereva aweze kuendesha vema atufikishe salama na tunakiombea chombo kisipate hitilafu yoyote njiani
 
Dah yan mi nateseka sana mwanangu anapungua damu kila mara na sicklecelly Hana nahis ni urozi tu japo bado sijajaribu kwa waganga naona Kama mambo yatakua mengi sana MUNGU amsaidie bint angu kwa kweli MUNGU ni mwema sana
 
Sikushauri kabisa kwenda kwenda kwenye ushirikina
 
Sickle cell anemia ni ugonjwa ambao hauhusiani na wanga. Waganga watakulia pesa zako bure. Hospital ndiyo mahala pake.
Dah yan mi nateseka sana mwanangu anapungua damu kila mara na sicklecelly Hana nahis ni urozi tu japo bado sijajaribu kwa waganga naona Kama mambo yatakua mengi sana MUNGU amsaidie bint angu kwa kweli MUNGU ni mwema sana
 
Sickle cell anemia ni ugonjwa ambao hauhusiani na wanga. Waganga watakulia pesa zako bure. Hospital ndiyo mahala pake.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Reactions: BAK
Maombi na hospitali
Niliombewe nilikuwa nimefungwa nikafunguliwa
Na dawa za hospital ndio nimetumia
Aaamen Hallelujah... Nguvu za shetani kupitia mawakala wake zimeshindwa[emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1534]
 
Kwenye karai la maji wengine wabishi wanajionyesha kinyume (matako) haonyeshi uso mpaka ageuzwe na mganga wa ngazi ya juu. Na kama uko sawasawa kukugeza hawawezi wanaishia kukuita mchawi.
 
Kwenye karai la maji wengine wabishi wanajionyesha kinyume (matako) haonyeshi uso mpaka ageuzwe na mganga wa ngazi ya juu. Na kama uko sawasawa kukugeza hawawezi wanaishia kukuita mchawi.
Duh[emoji848][emoji848][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Nina mtu asiejulikana ananikalia kooni kuhusu kipato,nikiomba pesa Benki inachelewa kutoka naishia kupishana na fulsa,nikifanaya kazi na vibarua mashamba hela inakata ghafla naanza migogoro na vijana wa kazi,kazini jina limechafuka viongozi lazima walikate kwenye mambo ya pesa ,masangoma wanagonga mkwanja na kutotatua tatizo.Ni shida ya miaka kibao,naenda taratibu mno kimaendeleo mpaka nijishtukia.
Illumint niliishia kupata taperi na sio OG,nayumba sababu nina mtizamo wa kufanikisha lakini mapepo tele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…