GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ana Mke na juzi juzi tu hapa katoka kumaliza Mafunzo yake ya Ukomandoo Urusi.Huyu kaka aliyevaa manga nyeusi pembeni kulia, naomba aje PM nna jambo nae.
Wallah anko km una mawasiliano nae nipatie, nna jambo nae kweli.Ana Mke na katoka kumaliza Mafunzo yake ya Ukomandoo Urusi.
Na katika hao Wageni msinisahau Ok?Siku moja huko mbele mualike members wa JF kujumuika chakula cha Pamoja na Maxence Melo na Team yake π
Mmoja hapo anasura ya kinyakyusa balaa
Bangi uliyoivuta Asubuhi hii uliinunua wapi? Una uhakika kuwa ilikuwa imechanganywa vizuri kwa ajili ya matumizi?Nyakyusa? aahh hilo ni lisura la ki Tarime tarime hilo, huyo aliyeshikwa GENTAMYCINE. Anaonjeshwa kisago cha kawe.
Pembeni aliyejishika Kisogo ni Robert Heriel Mtibeli anashangaa kwanini Genta anamchelewesha (jina kapuni, ila ni yule anayependa kisago kabla ya kujamiianaπ ) si unawajua Watibeli, ati hawacheleweshi kibano! Mfyuuuuuu Unashika kisogo cha nini sasa?
Unique Flower, yuule anakatisha.
Sasa watu wapo kwenye kikao unataka menu ziwe mezani kiongozi πBata ziko wapi wakati mezani Kuna Maji tu?
Hao majamaa hata sitaki kuwasikia. Manake kila siku huwa wananitendea sivyo, na ka message....Nadhani Hao ndo mamods
Aliyejishika kisogo kakaa kinyakyusa kweliNyakyusa? aahh hilo ni lisura la ki Tarime tarime hilo, huyo aliyeshikwa GENTAMYCINE. Anaonjeshwa kisago cha kawe.
Pembeni aliyejishika Kisogo ni Robert Heriel Mtibeli anashangaa kwanini Genta anamchelewesha (jina kapuni, ila ni yule anayependa kisago kabla ya kujamiianaπ ) si unawajua Watibeli, ati hawacheleweshi kibano! Mfyuuuuuu Unashika kisogo cha nini sasa?
Unique Flower, yuule anakatisha.
Bangi?Bangi uliyoivuta Asubuhi hii uliinunua wapi? Una uhakika kuwa ilikuwa imechanganywa vizuri kwa ajili ya matumizi?
Kwamba ni mtu mmoja!Wamesema wataunganisha ID
Pole sana aisee,, ila huyo mwenye shati nyeusi ngoja nimuweke awe avatar yangu... Mwambieni ananifanya silali naweweseka kwajili yakeHao majamaa hata sitaki kuwasikia. Manake kila siku huwa wananitendea sivyo, na ka message....
Mama we "Sisi tumekimbia kiasi matatizo"
"oops we ran into some problems"
Ati 'wewe fanya, siyo lazima ruhusa kukagua hii kurasa, ama tekeleza hili tendo"
"You do not have permission to view this page'
Yaani wana tenda hayo kwasababu ni "Watendaji"?
π ππAh wapi, sio mimi, ni Gentamycyne huyo..Mbona wanakugombea
π ππAh wapi, sio mimi, ni Gentamycyne huyo..
Nyakyusa? aahh hilo ni lisura la ki Tarime tarime hilo, huyo aliyeshikwa GENTAMYCINE. Anaonjeshwa kisago cha kawe.
Pembeni aliyejishika Kisogo ni Robert Heriel Mtibeli anashangaa kwanini Genta anamchelewesha (jina kapuni, ila ni yule anayependa kisago kabla ya kujamiianaπ ) si unawajua Watibeli, ati hawacheleweshi kibano! Mfyuuuuuu Unashika kisogo cha nini sasa?
Unique Flower, yuule anakatisha.
Hameni huko hiyo App yenyewe hawana mpango nayo wanataka kuachana nayo jumla.App yenu bomuuuu
Picha hazifunguki
Ova
App inaboa sana, kuna sehemu niliona watu wengine wanataka kutengeneza app mbadala ya jamii forum ,tutawahama [emoji17]App yenu bomuuuu
Picha hazifunguki
Ova
raraa reree hatimaye leo umekiuka utaratibu wa kutoa 'malikes' na kuamua kujibu!ππππ!!!Sasa watu wapo kwenye kikao unataka menu ziwe mezani kiongozi π