Baadhi ya watu wanajiuliza kwanini ''bwana yule'' hapati tena siri za Ikulu?

Long time agoo.. JNilipo kuwa likizo jirani kwa ndugu mtaa ule yulikuwa na maduka ya jumla, mlinzi alikuwa mmakonde, kila siku usiku alikuwa anachoma nyoma nyama kwenye lindo lake.. Baadhi ya watu walikula sana ile nyama cha ajabu hawakuwai kumuuliza aina ya nyama wanayokula..

Siku moja na ndio siku tulipo tua nchini iligundulika ile nyama ilikiwa baadhi ya wanyama kama mbwa paka na nguluwe..

Mtaa ule wengi Waislamu na kuroka na umaarufu wa yule Mzee wa Kimakonde hata Imamu aliwahi kula ile babikiu ya kila jioni...

Uzi teyari..
 
Ni kama unatania lakini...

Hata kipindi kile cha kampeni ya mwaka 2015, akina ukawa wakawa wanauliza, tunataka kujua richmond ni nani!!!? Mzee Kikwete akawajibu ukawa wananiuliza richmond ni nani, mbona wako naye kila siku wanazunguka naye huko na huko kwenye kampeni? Ndivyo ilivyo kwa huyu jamaa pia.
 
Awamu iliyopita haikuweza kutunza siri, mnakuza tu jambo hili bila sababu yoyote. Ile ilikuwa serikali ya waropokaji!
 
Una akili sana mkuu!

Binafsi mimi niliwahi kuhoji hivi kigogo ametoa siri gani ya selikali? Sijawahi kupata jibu.

Yule alikuwa mtukanaji na siyo mtoa siri.

Siri! Tungeona ameweka mikataba yote ya madini, bandari ya bagamoyo na mamikataba mengine mbali mbali japo kwa uchache ndio tungeona anatoa siri.

Alikuwa pia mpiga ramli na ramli zake 10 ikitiki moja basi anawavimbisha kichwa wafuasi wake wajinga wajinga.

Kigogo ni mtukanaji siyo mtoa siri.

Ni sawa na alivyokuwa Mange. Mtu anakuja eti Magufuli anatembea na flani, alafu watu kwa maelfu wanashangilia kwamba huyu dada ni noma anatoa siri za ikulu anatusaidia sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi hiyo imewasaidiaje watz?

Upumbavu mtupu.
 
Ufagio uliopitishwa kule kwa wale wasiojulikana umeondoka na wengi sana saa hivi wako kwenye maumivu makali huko uraiani. Mtego waliowekewa waliokuwa wanahisiwa umenasa wengi sana wakatimuliwa ndio maana unaona jamaa hapati tena za jikoni.
Naomba niishie bapo naingia kibanda umiza kwanza
 
Wenyewe wanajiita wapigania haki halafu haki yenyewe wanaipigania kwa kumshambulia mtu mambo binafsi, sasa sijui walikuwa wanapigania vp haki kwa hali hiyo.
 
Don't underestimate that nigger

He'll bounce back very soon

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwa Sasa anahudumu madhabahuni[emoji1787]

[emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205] Nadhani umempata[emoji1787]
 
Ulikuwa unaijua saini ya magufuli wewe?
 
Wenyewe wanajiita wapigania haki halafu haki yenyewe wanaipigania kwa kumshambulia mtu mambo binafsi, sasa sijui walikuwa wanapigania vp haki kwa hali hiyo.
Kingine pia yeye anamshambulia yeyote asiempenda.

Mfano yeye ni shabiki wa yanga ila sasa kwa vile haipendi simba kila siku anajaribu kumshambulia MO na kumuita ni tapeli na zile tuzo zake za utajiri huwa anahonga ili apewe! [emoji23][emoji23][emoji23]Ila sasa hii ya kumshambulia MO huwa anakutana na kikwazo kwa mashabiki wake sugu wa simba, kisha anarudi nyuma.

Sasa hivi yupo anahamasisha watu wasimpe kura diamond kwenye tuzi gani sijui kisa diamond ni shabiki wa ccm. Yani yuko kama wale wanawake wa uswahilini.

Mbaya zaidi nmeona ujinga wake amewaambukiza hadi kina JACOB huyu wa ubungo.
 

toka apigwe changa la macho na samia kipindi anamteu vice president nadhan mama samia alishajua bwana yule ni nan
 
Mimi huwa simchukulii serious kabisa nilishamjua hayupo smart kama ambavyo wengine wanamfikiria, hayo mambo uliyoeleza ndivyo ambavyo huyo jamaa alivyo ana ujinga mwingi tu.
 
Nilicholeta hapa sio theory bali ni ukweli halisi! Tofautisha ukweli halisi na theory!
Hakuna ukweli wowote ,ungekua ukweli usingekua unatumia maneno kama "nasikia"wewe umekuja na Hypothesis inayohitaji kupatiwa majibu na data sahihi.Ukishatumia neno nasikia huo sio ukweli ni stori za kuambiwa(Hearsay) zinahitaji uthibitisho tena.
 
Waliokua wwnatoa siri nawao walikua hawapendezwi na uongoz Wa mwendazake, kwaiyo walikua wwnafanya kama kmkomoa so ameshakwenda zake hawaitaji tena Ku mvuruga mama

Sidhani kama umesoma mada yote na kama umesoma utakuwa hukuelewa vizuri kwa sababu kama ungekuwa umesoma na kuelewa vizuri nadhani usingeandika hiki ulichokiandika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…