Baadhi ya watu wanajiuliza kwanini ''bwana yule'' hapati tena siri za Ikulu?

Kwanl serikali inachukua kila maoni ya mtandaoni? Na hizo hatua ilizochukua ni kuwa imeshauriwa tu kutoka mtandaoni hamna sehemu nyingine?
 
Mzee Baba dunia imehama na inakwenda kwa kasi siku hizi hamna muda wa kukaa kwenye mikutano kila siku kusikiliza kero mambo ni humu humu na tunao to a maoni humu ndio wananchi kwenye upeo angalau.
Sio wote wanajua mambo ya mtandaooo na kuna watu hawapati hata muda wa kuwasha bando wao ni kazi na radio.
 
Tupate mara ngapi tabu si tupo humu humu ! Kwa hiyo tuwaze tofautu hata kama kun mambo yalikua sawa ila kwa sasa yanapwaya
Yapi yalikuwa sawa, ya sabaya kuteka watu kuvamia maduka ya wafanyabiashara na mitutu bila kuchukuliwa hatua 😅😅😅 hivi mmerogwa au?
 
Paragraph ya mwisho rudia kuandika kwa small letters
 
Ila unafikili sabaya kaka matwa kwa lawama zilizo toka wapi mbona huna akili wewe ? Watu walio influence sabaya akamatwe unajua ni kundi la wapi?
 
Sio dikteta mama awe serious sio.kila. kitu mpaka wajadiliane
Lia lia tu na sabaya wako. Ndiyo ashakamatwa hivyo hakuna namna, kama wampenda kaungane naye mkuu 😅😅
 
Siku watanzania wakizinduka toka usingizi wa pono na wakajua gari limepotea njia wanaelekea bondeni muda hutokuwa upande wao tena leo wahuni wa mitandaoni ndo wamekuwa washauri wa kiti kikuuu
Mzarendo enzi za marehemu.
 
Wewe hii.nchi hata kama mtu anaushawishi.kwahyo mpambazi hana haki ya kutetea anachokitaka kiasi aache kwa sababu kigogo hataki na timu yake
 
Ila unafikili sabaya kaka matwa kwa lawama zilizo toka wapi mbona huna akili wewe ? Watu walio influence sabaya akamatwe unajua ni kundi la wapi?
Akili huna wewe mtu hadi video zipo anatumia gari zina plate number za UN anavamia duka tena nje ya wilaya yake akiwa na mitutu, sasa huyo mkuu wa wilaya au jambazi. Halafu uko hapa unamtetea umerogwa au nawe ulikuwa unanufaika kwa uharamia wake
 
Wewe unaweza bakiwa mkeo na ukabaki unafurahi kwa sababu umezidiwa cheo na mwenyekiti wako wa mtaa.
 
Kaingia miziki ya unknown assailant
 
Wewe hii.nchi hata kama mtu anaushawishi.kwahyo mpambazi hana haki ya kutetea anachokitaka kiasi aache kwa sababu kigogo hataki na timu yake
Unaongea pumba, kigogo angekuwa na influence basi hata baraza la mawaziri lingevunjwa, ally happy asingebaki kwenye URC, makamu raisi asingeapishwa, biswalo asingekuwa judge, na mengine mengi. Sabaya anastahili alichopata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…