Baadhi ya watu wanajiuliza kwanini ''bwana yule'' hapati tena siri za Ikulu?

Lia lia tu na sabaya wako. Ndiyo ashakamatwa hivyo hakuna namna, kama wampenda kaungane naye mkuu [emoji28][emoji28]
Simtetei sabaya ila nacho lalamika ni kwa nini influence ya mtandaoni iyumbishe serikali kiasj waaache kufata mambo ya msingi na kufanya kazi kwa kujishtukia

Mfano ni huo wa mpambazi amabae hana kosa mpka.TBS wamemuita kwa mahojiano.
 
Iwaingie ituingieee we falaaa kweliiiii.
Fala wewe mtetezi wa haramia sabaya, tulia dawa iwaingie maana mmezoea uharamia unalia lia hapa. Mmetesa watu sana kwa mambo ya kijinga sasa manataka huruma tulia sabaya ndiyo hivyo kesi mahakamani akajitetee huko.
 
Kigogo kwenye jukwaa letu hili sijui anatumia id ipi?
 
Unataka wafunge uzi mapema kabla ya ujumbe kufikaaa nati zinatakiwa zikazweee
Lengo ni kumtetea Sabaya lakini umechelewa. Sabaya hajaanza kuanikwa Leo hapo alipo kajipeleka mwenyewe, kama unaona kaonewa au kakamatwa sababu ya maneno ya mitandaoni nenda kawe wakili maana Leo kakosa hata Wakili.
 
Simtetei sabaya ila nacho lalamika ni kwa nini influence ya mtandaoni iyumbishe serikali kiasj waaache kufata mambo ya msingi na kufanya kazi kwa kujishtukia

Mfano ni huo wa mpambazi amabae hana kosa mpka.TBS wamemuita kwa mahojiano.
Kwani walioko mtandaoni siyo watu, uliona video za sabaya hujaona? Kama uliona alikuwa akifanya makosa au hakuwa anafanya makosa, kama alifanya makosa nini ulitaka SSH afanye?
Wewe ungekuwa raisi uone mteule wako anateka watu, anavamia maduka na mitutu na watu wanasema mtandaoni ungemuacha kisa tu waliosema ni watu wa mtandaoni?
 
hapa kuna mazeli na mama wewe umemlenga yupi?
 
Unaongea pumba, kigogo angekuwa na influence basi hata baraza la mawaziri lingevunjwa, ally happy asingebaki kwenye URC, makamu raisi asingeapishwa, biswalo asingekuwa judge, na mengine mengi. Sabaya anastahili alichopata
Hlf wewe unaonekana hujui mambo yalivyoooo stop.talking about kigogo 2014 unamjua kwa story hujafatilia influence yake... hama humu jf mara moja moja zama twitter boss uonee .
 
Ushauri wetu wa mtandaoni asifanyie kazi aupuuze, ila ushauri wako wa mtandaoni ndo sahihi sana aufanyie kazi si ndiyo?
Soma elewa ufahamu umekosa kabisa nimesema ushauri.wa mitaondaoni asikilize lakini usiwe.kwa kiwango kikubwa kuliko fikra zake na wananchi wengine mbona uko zero.
 
Fala wewe mtetezi wa haramia sabaya, tulia dawa iwaingie maana mmezoea uharamia unalia lia hapa. Mmetesa watu sana kwa mambo ya kijinga sasa manataka huruma tulia sabaya ndiyo hivyo kesi mahakamani akajitetee huko.
Haya kaenda sabaya na bado nipo dawa gani.unasema iingie jlf nilicho sema na unacholilia ni vitu viwli tofauti mie.naonglea imfluence wewe unalzmsha.sabaya
 
Hlf wewe unaonekana hujui mambo yalivyoooo stop.talking about kigogo 2014 unamjua kwa story hujafatilia influence yake... hama humu jf mara moja moja zama twitter boss uonee .
Wewe ndiyo unatazama jambo kalisema nani, mimi natazama je alichosema ni kweli. Unakuwa kama wabunge wa ccm wapinzani walipokuwa wakitoa hata jambo lina hoja kisa wapinzani wanalikataa, ndiyo maana juzi nimemskia ndungai anashangaa sheria ilipitaje wakati alikuwa bungeni na heche aliipinga wakamzomea.
Nakupa nyingome. Kigog angekuwa na influence na maamuzi ya SSH basi hata manji asingekamatwa na takukuru.
Sabaya ana makosa yake na hayawezi kupita acha mahakama ifanye kazi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…