Baadhi ya watu wanajiuliza kwanini ''bwana yule'' hapati tena siri za Ikulu?

Baadhi ya watu wanajiuliza kwanini ''bwana yule'' hapati tena siri za Ikulu?

Sio kwamba utawala wa Samia umefanikiwa kuzuia siri za serikali zisimfikie Kigogo, issue ni kwamba wale waliokuwa wanavujisha hizo siri awamu iliyopita ndio marafiki wa Samia.

Wameshaona kadri wanavyozidi kujinasibisha na Kigogo ndio chance zao za kurudi serikalini zinavyopotea, now wameamua kukaa kimya ili wakumbukwe na Samia.

Kuna yule mmoja alipigiwa chapuo sana na Kigogo awe VP akaukosa, Kigogo akawa mkali kweli mpaka nikashangaa hasira zote za kuukosa u VP za nini, jamaa walijisahau sana mpaka wakafahamika ni akina nani wanaoendesha hiyo account ya Kigogo.
 
Umepiga penyewe.
 
Hii ni somo zuri sana kwa watawala na wafuasi wa mwendazake a.k.a MATAGA. Pomoja na mwenda zake kuongoza kwa mkono wa chuma, kuminya uhuru wa habari, na kupoteza wakosoaji wake bado siri zake ziliendelea kuvuja.

Maana yake ni kwamba kuna wasaidizi wake wa karibu wengi hawakuwa wakimuunga mkono, ndo maana walivujisha siri zake. Pamoja na kubadilisha safu ya wasaidizi wake mara kwa mara hali ilibaki vile vile.

Ili mambo yaende na ubaki kuwa salama unahitaji kuongoza kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu. Mambo yaliyo fuata sheria na utaratibu hayawi skendo. Ila yale yaliyo fanywa gizani ndo huwa skendo. Maana anafanya mambo yote hadharani na kwa kufuata sheria sasa skendo zitatoka wapi?
 
Uongozi wa shujaa ndio ulimjenga Kigogo, kuminya uhuru wa vyombo vya habari,mikutano ya kisiasa, ukabila, ukatili wa aina mbali mbali ulisababisha chuki kwake uongozi wake na hivyo watu wake serikalini wakaamua kuwa wanatoa siri zake. Mama ame reverse huo utopolo wote ndio maana Kigogo sasa hana maana yoyote zaidi ya kushabikia mziki.
 
Kukiwa na transparency..., uhuru wa habari, uchambuzi na urahisi wa kupata habari wakina Kigogo ni wa kazi gani ?

Kudhibiti kina Current na potential Vigogo ni kuwa na Transparency basi....,
 
Sio kwamba utawala wa Samia umefanikiwa kuzuia siri za serikali zisimfikie Kigogo, issue ni kwamba wale waliokuwa wanavujisha hizo siri awamu iliyopita ndio marafiki wa Samia.

Wameshaona kadri wanavyozidi kujinasibisha na Kigogo ndio chance zao za kurudi serikalini zinavyopotea, now wameamua kukaa kimya ili wakumbukwe na Samia.

Kuna yule mmoja alipigiwa chapuo sana na Kigogo awe VP akaukosa, Kigogo akawa mkali kweli mpaka nikashangaa hasira zote za kuukosa u VP za nini, jamaa walijisahau sana mpaka wakafahamika ni akina nani wanaoendesha hiyo account ya Kigogo.
Kina Nchimbi?
 
Mpuuzi wewe, unakiri kwamba alikuwa anapewa taarifa kutoka ikulu alafu unalalamika nini? kwani yeye ni MUNGU anaona kila kitu? fanya na wewe tuone
 
Bahati nzuri mimi natumia sana internet. Natumia akili zangu timamu.

Huyu mtu alikuja humu 2015 ( sababu za ujio wake zinafahamika )

Na tofauti iliyopo kati ya maudhui yake ya sasa na ya miaka mitano iliyopita ( sababu yake inafahamika )

Ni Maslahi yake binafsi yameguswa.

Huyu mtu hajawahi kuguswa kwa namna yoyote na mateso ya mtu mwingine. Hata mauaji ya kikatili ya kina Akwilini hayakuwahi kumgusa kwasababu hayamhusu.
2015??

Lakini hata hivyo, unaweza Sana kutengeneza muvi na watu wakaashumu kuwa ni kweli
 
Sijaelewa.
Kwani lengo la Kigogo2014 kilikua Ni kutoa Siri za Ikulu ama kufichua mwovu ya Mtawala dhalimu.

Kama utawala wa Sasa unatenda mema Atafichua wema?

Nakuambia Hivi watu kama Kigogo huja kama utawala huminya haki za wananchi.

Watu kama Kigogo hupewa sapoti na watu wa mifumo kukosoa na kufichua uovu wa watawala wanapigana uhuru wa kutoa maoni.

Kwa huyo Mama karuhusu kukosolewa,Kigogo Hana kazi tena.
Mama akinyima uhuru Kigogo au Vigo wengine wataibuka tena.

Suala la kumnyamazisha hakina mashiko kwa sababu watu waaliomuona nuksi hawapo madarakani tena,na siku zinavyokwenda wanazidi kupoteza nguvu.mwisho wataishia kbs.
 
Kama wingu limeondoka uwazi na ukweli umerudi haja ya Siri za nn
 
Sijaelewa.
Kwani lengo la Kigogo2014 kilikua Ni kutoa Siri za Ikulu ama kufichua mwovu ya Mtawala dhalimu...
Kigogo ni mmoja ya wauza madawa ya kulevya wakubwa katika nchi yetu na mwizi wa Rasilimali zetu

Kigogo ni kikundi cha watu Wauwaji wanaofurahia mwanao wewe kuishia kuvuta unga na hatimaye kufa!!

Na hata hivyo, staki unielewe wala kuchulia umhimu juu ya hilo
 
Kazi ya kigogo ni kufichua maovu na sio kutoa Siri kama maovu hayapo je
 
Back
Top Bottom