Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Sio kwamba utawala wa Samia umefanikiwa kuzuia siri za serikali zisimfikie Kigogo, issue ni kwamba wale waliokuwa wanavujisha hizo siri awamu iliyopita ndio marafiki wa Samia.
Wameshaona kadri wanavyozidi kujinasibisha na Kigogo ndio chance zao za kurudi serikalini zinavyopotea, now wameamua kukaa kimya ili wakumbukwe na Samia.
Kuna yule mmoja alipigiwa chapuo sana na Kigogo awe VP akaukosa, Kigogo akawa mkali kweli mpaka nikashangaa hasira zote za kuukosa u VP za nini, jamaa walijisahau sana mpaka wakafahamika ni akina nani wanaoendesha hiyo account ya Kigogo.
Kina Nchimbi?Sio kwamba utawala wa Samia umefanikiwa kuzuia siri za serikali zisimfikie Kigogo, issue ni kwamba wale waliokuwa wanavujisha hizo siri awamu iliyopita ndio marafiki wa Samia.
Wameshaona kadri wanavyozidi kujinasibisha na Kigogo ndio chance zao za kurudi serikalini zinavyopotea, now wameamua kukaa kimya ili wakumbukwe na Samia.
Kuna yule mmoja alipigiwa chapuo sana na Kigogo awe VP akaukosa, Kigogo akawa mkali kweli mpaka nikashangaa hasira zote za kuukosa u VP za nini, jamaa walijisahau sana mpaka wakafahamika ni akina nani wanaoendesha hiyo account ya Kigogo.
Ushamba ni ushamba tu,Nadhani ulichochangia hakina uhusiano na mada yangu! Hata hivyo neno mshamba ni dhana tu kulingana na udogo au ukubwa wa fikra zako!
2015??Bahati nzuri mimi natumia sana internet. Natumia akili zangu timamu.
Huyu mtu alikuja humu 2015 ( sababu za ujio wake zinafahamika )
Na tofauti iliyopo kati ya maudhui yake ya sasa na ya miaka mitano iliyopita ( sababu yake inafahamika )
Ni Maslahi yake binafsi yameguswa.
Huyu mtu hajawahi kuguswa kwa namna yoyote na mateso ya mtu mwingine. Hata mauaji ya kikatili ya kina Akwilini hayakuwahi kumgusa kwasababu hayamhusu.
Kigogo ni mmoja ya wauza madawa ya kulevya wakubwa katika nchi yetu na mwizi wa Rasilimali zetuSijaelewa.
Kwani lengo la Kigogo2014 kilikua Ni kutoa Siri za Ikulu ama kufichua mwovu ya Mtawala dhalimu...