Baadhi ya watu wanajiuliza kwanini ''bwana yule'' hapati tena siri za Ikulu?

Watakoma, mchawi akila nyama ya mtoto wa jilani ukampa na pili pili, usijetoa mlio siku anatafuna wa kwako.

Kuna kanuni moja kwenye haya mambo inasema, hakuna adui mbaya kama uliyeshirikiana naye kufanya uovu.
Duh! Nilitamani kweli kukuuliza, kwa mifano hiyo wewe mzazi mwenzetu kweli?!?
 
Analysis hii inaweza ikawa na ukweli. Ngoja nikupe siri nyingine kwa nini huyu bwana hana nguvu kwa sasa.

Iko hivi: Baada ya kifo cha JPM watu wa mitandao wakarudi Nyuma kidogo na wengine kumuunga mkono Mama. Na wengine wakaacha Siasa kwa mda. Kumbuka umaarufu huendana na nguvu mtu anayoipata kulingana na wafuasi wake. Vile vile bwana huyu alipata ufadhiri mkubwa sana kutoka kwa watu waliokwamishwa na mwendazake.

Kimsingi huwezi sema kwa asilimia mia kwamba bwana yule alikuwa anapata siri za ikulu. Bwana yule alikuwa anatukana tu mara nyingi na anapata umaarufu. Akikosoa tu anapata umaarufu. Sasa hivi hata akitukana watu hawana mpango nae na wengine waliokuwa wanamuunga mkono wanampinga asitukane.

Ni kwamba.. Bwana yule amekosa wa kumuunga mkono.

Kwa sasa anaegemea CDM kwa sababu anaamini ndio watamsaidia kupata umaalufu. Ilikusudi hata akija kutukana ama kukosoa basi wamuunge mkono.
 
Tatizo la Kigogo yeye ana aina yake ya mtu anayetaka awe rais ambaye haexist duniani na hata akiexist bado atatafuta namna ya kumpinga.

Yaani kiufupi anapinga kila kitu, hana jema hata moja!
Mi nanuona kama kichaa tu siku hizi.

Vipi kuhusu hili la kushindwa tena kuvujisha taarifa, je nadharia ya mleta uzi ipo sahihi?
 
Jamaa anasema aliyekuwa akimpa taarifa Kigogo ni Samia ama mtu wa karibu na Samia, na sasa wamemtosa Kigogo, amebaki na hasira anamtukana tu Samia
 
All in all, who is s/he?
Kuna mtu mmoja anatumia ID ya Jasusi kule Twitter inaonekana anamfahamu vizuri sana na anafahamu hadi nchi anayoishi kwa sasa kama 'fugitive'. Nenda kafuatilie tweet zake za Aprili na Mei, 2021 utapata habari zake kwa kina
 
Sio yeye kashika madaraka bali waliokuwa wanampa siri ndio wameshika madaraka, let say Mwigulu ( mfano tu)
 
Hakuna chochote kilichokuwa kinavuja. Ilikuwa anazusha tu na kwa vile watu walibaniwa habari kwa hiyo wakawa wana shadadia uzushi. Take it or leave it...
 
Heard exactly same thing from a reliable source.
 
Waliokua wwnatoa siri nawao walikua hawapendezwi na uongoz Wa mwendazake, kwaiyo walikua wwnafanya kama kmkomoa so ameshakwenda zake hawaitaji tena Ku mvuruga mama
 
Bwana yule anatumia political tactics 3
1) Networking
2) image maintenance
3) information control
Bas watanzania tunamuona Hercules kwel kwel yaan[emoji1787][emoji1787]
 
MHeshimiwa hakuna mahalo Kigogo akitoa Siri za serikali,nakataa.
Hivi mfano,Kusema karatasi za kura za ziada zimechapishwa jamana printers Hiyo Ni Siri ya serikali?
Inawezekana unamzungumzia Kigogo tofauti na anayejadiliwa kwenye hii mada.
 
Kwahiyo huu mpango wa "Bwana yule" pamoja na watu zake waliyokuwa wakimpa hizo siri umefanikiwa kwa kiasi gani? ila hii nchi ina vituko sana watu wanatoa siri za serikali ili kumkomoa rais na mara unasikia simu za watu kurekodiwa na kusambazwa mitandaoni.
 
Kuna kipindi 'bwana yule' alimsema mwenyekiti vibaya tena kwa data. Vijana wa mwenyekiti wakiongozwa na muandishi wa vitabu vya ujasusi kutoka mbutu walimjia juu 'bwana yule' ilifika mahali mpaka wakataja jina lake. Watu wanasahau
Hata kama una ubongo mdogo kiasi gani, huwezi kushindwa kujua waliokua maadui wa 'mwendazake' ni akina nani. System ya kile chama kimejijenga kila mtu ale kwa 'portion' yake. Ila mwendazake aliwapigia pin kimtindo na ndipo bifu likatokea.

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…