Baadhi ya watu wanajiuliza kwanini ''bwana yule'' hapati tena siri za Ikulu?

Ukishaweka hapa sio yako tena pimbi wewe unafuga tumbo kama mimba

Kuniambia mimi ni pimbi hakuwezi kuifanya hoja yako isimame kihoja bali utaonekana mjanja katika kundi la wajinga!

Jikite katika mada!
 
Njia pekee ya kudhibiti siri ni kuwa na utawala bora....sio kufanya mambo ya ajabu kisha uanze kutafuta namna ya kuyaficha.......hata hivyo twitter sasa inapatikana bila VPN

Kwa kukusaidia, hakuna serikali hapa duniani isiyofanya mambo ya ajabu! Hoja ya msingi ni ukubwa au udogo wa hayo mambo ya ajabu!
 
Mnafiki wa kwanza ni wewe.....

Hivi angekuwa ni Mnafiki mwenye "ajenda koko usemazo" unadhani "angepasua" vetting ?!!

Hivi ninyi "mnavutaga" bangi mbichi kupitia tundu za masikio eee?!!! Si ndio eee?!!!

#KaziIendelee
 
Bora alete hiyo ajenda ya Zanzibar ilimradi habagui, haui wala kuonea watu kwa sababu ya mrengo wake wa siasa, dini, kabila au kanda.
Down with Magufuli. Great Satan Magufuli
Mkuu Umemaliza na maneno makali sana mkuu wangu....

Hata utu hatuna ?!!!
 
Kila zama huzaa "bwana yule" muda utajibu
Ukweli " bwana yule" ni system humtengeneza kwa maslahi mapana ya kumtisha kiongozi
 
Mkuu MsemajiUkweli, umefanya analysis moja matata sana, kuna wakati na mimi nilikuwa najiuliza hivi, "Bwana yule" na haya mapenzi na CHADEMA yameanza anzaje? Kuna nini ameshaona amekikosa?

Muda utatufahamisha vizuri.
Shukrani Mkuu!
 
Mkuu;
Kwenye mchango wako kuna hoja za kweli lakini pia kuna hoja sio za kweli!

Kwa kifupi, hoja nyingi ulizoleta niza kweli!
 
Kwa sababu sasa hivi hamna siri tena au mnahitaji kudanganyika.Nyie mjijue kuwa ni wambeya au wadaku,jifahamu hivyo kama unasubiria siri.
 
Hahaha, bwana yule kama demu, mipasho, matusi, kulazimisha kupendwa, kujifanya world of politics anaijuwa na kutwa kujiona yuko sawa na wengine mbumbu tu?!
Whata a prick...
 
Andiko linaonyesha hasira. Linaonyesha wametupwa nje ya mfumo. Ni mwakilishi wa kundi lililokuwa likiumizwa na Kigogo. Lingetamani kuona ile hali ya kuwekwa wazi kwa mambo yao inaendelea. Ukimya wa Kigogo unawafanya waamini alikuwa akisaidiwa na wapinzani wao. Hawa ndiyo wale wanaoamini Mama Samia kawekwa na Kikwete, hawakubali kama Katiba, japo mbovu, ndivyo inavyotaka. Hawa ndiyo wale wanaoamini kila kinachofanywa na mama, kimetoka Msoga. Wanaumia jinsi mama anavyotupa mambo yao ya kishamba. Badala ulete hoja za maana ili watu wajadili, unatuletea habari za siri za Ikulu kuvuja. Zilivuja kwa sababu washamba walikuwa wengi pale Ikulu, wakigombania kujipendekeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…