Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma hawajapata mshahara

Hapana hiyo inshu yakusitishwa darasa ka saba ni nyingine na ishu ya baadhi ya watumishi jutoona mshahara wao paka sasa ni nyingine nahatujui tatizo ni bot au nini maana uhakiki nakila kitu vipo sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Uliingia wakauchukua BOT wenyewe, kuna jamaa kacheki kaona lakini badae mda Fulani haukuepo tena na hakutoa hata senti. Kwa waliowahi wametoa pesa zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi sijawekewa sasa sijui ni kwa nini ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliingia wakauchukua BOT wenyewe, kuna jamaa kacheki kaona lakini badae mda Fulani haukuepo tena na hakutoa hata senti. Kwa waliowahi wametoa pesa zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli mkuu, mbona kwangu mshahara umeingia na mpaka dakika hii upo? Na wenzangu wengi wamepata japo wengine bado.
Mishahara ya leo imeingia kwa mafungu mafungu.
Hakuna haja ya kua na wasiwasi maana taarifa zetu ndo mara ya kwanza kupelekwa BoT ndio maana pesa zinaingia kidogo kidogo kutokana na kufeed taarifa taratibu, baada ya mwezi huu mambo yatakua fresh na taarifa zote watakua nazo kwenye kumbukumbu zao hivyo watumishi wote tutaweza kulipwa at once.
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walivosema tutaisoma namba kweli walimaanisha numerical reading. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo ni kweli kuna watu waliona pesa na saivi hawaoni kitu,,, jaribu kufuatilia utaligundua hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wengi wanalalamika hawajapata full kuchanganyikiwa
 
habari wadau,akaunti yangu haisomi haki yangu ya julai je kunatetesi yoyote juu ya wengine wamepata wengine hatujapata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…