Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma kupunguziwa mishahara kwa zaidi ya 30%

Rais kasema bayana kuwa atawwongezea mishahara wanaolipwa kidogo. Wewe utasemaje mishahara inapunguzwa?
 
Mbona mishahara ilisha punguzwa tayari. Increments za mwaka hazipo. Hakuna ongezeko maanayake tayari mishahara ishapunguzwa
 
Necessity is the mother of creativity . You perform better when you are out of confort zone!!
======
Anatulazimisha tuwe wabunifu na kutuweka sehemu ya kutuchangamsha akili kwa mijeredi. Ni sawa lakini anatutakia mema!!
 
Necessity is the mother of creativity . You perform better when you are out of confort zone!!
======
Anatulazimisha tuwe wabunifu na kutuweka sehemu ya kutuchangamsha akili kwa mijeredi. Ni sawa lakini anatutakia mema!!
 
Yaani huyu jamaa badala ya kukuza uchumi ili apate fedha za kutoa huduma kwz wananchi, anatafuta kutupunguzia mishahara ili apate pesa za kujenga mapaarapara? Kawaida mishahara huwa inaongezwa sio kupunguzwa! Mbona yeye mwenyewe hata kiasi analipwa na marupurupu yake hajawahi kuyaweka wazi?
 
Ha ha subiri uone sasa. Jamaa hadanganyi ni ukweli mtupu.
 
Unaleta tetesi za 30% wakati ukweli ni kuwa wapo waliotumbuliwa 100%.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
LSSE wote jiandaeni .panga linakuja tena la hatari.
 
Wafanyakazi huyu punguani anawatia hofu kwa tetesi zake za kijinga.

Kama unajijuwa kuwa wewe sio jipu basi ujuwe kuna nyongeza yaja na kama ni jipu ujuwe utatumbuliwa 100%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…