Baadi ya wanawake kipindi hiki hawana akili

🤣 kuna jamaa alipata wife material shapeless kabisa ila ana rangi ya wastani chocolate na anasura nzuri, ila ni pure shapeless 🤣. Walikaa kwenye mahusiano kama miaka 2 mpaka 3, Jamaa alimpenda sana na alikuwa anataka aanze mchakato wa kumuoa. Ghafla yule mwanamke shapeless kabisa akaanza kunenepa, ila kunenepa kwake ilikuwa juu kabakia mwembamba ila chini ndio unene wote unajaa, yule shapeless alifungasha msambwanda na mahipsi ambao sio wa kawaida ndani ya muda mfupi, ndani ya muda mfupi ilibidi jamaa yangu amfanyie shopping ya nguo maana nguo zote zilikuwa zinambana sana na zingine zilikuwa zina chanika kutokana na ukubwa wa mahipsi/msambwanda. Baada ya muda mfupi jamaa akaanza kuona mapicha picha 🤣. Mwanamke akaanza kumwambia wewe sio type yangu! Mara akaanza kumwambia wewe huwezi kunioa Mimi! Mara amwambie nahisi nilikosea kuwa na mahusiano na wewe! Huwezi kunioa mimi kisha unipeleke kunifuga mkoani (jamaa alipata kazi ya serikali mkoani)!

Mwisho wa siku ilibidi wa achane tu, mipango ya ndoa iliisha.
Jamaa alipata binti mwingine wa kumuoa







Yule binti kutokana na kuwa na msambwanda mkubwa, akaanza kupata masponsa wenye hela, akawa na vitu vya gharama simu za milioni tatu za iphone ndio zikawa zake, nguo za gharama , nywele za gharama, maisha ya gharama. Akaanza kusafirishwa kwenye mahoteli ya gharama zanzibar, South Africa, Kenya, Dubai. Baadae inasemekana alitiwa Mimba na sponsa na sponsa aliikataa, pia mke wa sponsa alimwambia atamtafuta na kumuua. Sasa hivi huyo dada ni single mother, kachoka, kazeeka, kachakaa karudi kijijini anafanya vibarua.
 
Naona wanaume sasa tumeambukizwa complaining and sulking

Tumeshaambiwa… hawa jamaa tuishi nao kwa akili
 
Mkuu nakushauri kung'atuka haraka Sana hata kama bado unampenda. Hapo utaumizwa.
 
Mabinti wengi siku hizi ni malaya

Ukiona anapenda kuomba pesa huyo ni malaya treat her like a bitch akiomba pesa muombe uchi namna hiyo

Sasa ona mwisho wa siku umemlisha amekula chakula ameshiba hata denda tu haujamla

Tatizo lenu vijana mnataka kuwatreat malaya kama wake zenu mtalia sana na kuliwa hela
 
Kilichokutokea hata nami pia kilinitokea isipokuwa huyu alinikubalia kuwa Mpenzi wangu akatoka nami tukakaa mahali tukala tukanywa, bili ilitoka kama 48,000, nikawa namsikilizia anasemaje, cha ajabu akasema amefurahi kutoka nami out ila hajisikii kuliwa nami siku hiyo. Nilimkubalia tukaagiza uber tukasepa, nilipofika karibu na kwao tu alianza kaniambia ye ni jobless woman anahitaji support toka kwangu nimsaidie pesa ya matumizi nikashangaa...nilimwambia siku zote huwa anaishije bila mimi? Alijitetea oooh...huwa anasaidiwa na Ndugu zake mara ye ni single mother ana Watoto watatu anawalea mwenyewe ametelekezewa na Me, nikamwambia "pambana ndiyo ukubwa huo", alizidi kulalamika weee...nikamwambia "kama anafanya biashara anijuze mapema maana hata hatujafungua mapenzi kivitendo nitaanzaje kuhudumia ghafla ghafla na je nina uhakika hatanibadilikia mbeleni kunikataa?" eti oooh nisiwe na wasiwasi wowote maana kashanikubalia nilimlipia uber nikataka niondoke akanishika mkono nilimkata jicho aliniachia mwenyewe. Baada ya siku 3 alinipigia simu na kuanza kulalamika"kwanini hunitafuti Mpenzi wako, unajua nimeamkaje, nimekula nini, nimeshindaje nikaona isiwe tabu basi nilimkubalia tu kuwa majukumu yalinizidi ndiyomaana aliona kimya" tukaagana, siku 3 mbele alirudia tabia yake ya kunilalamikia kuwa namkosea sana kutomtafuta nakati ye ni Mpenzi wangu, nilimuuliza alitakaje? Alinijibu kuwa simjali sijui hata anaishi vipi, anakulaje anavaaje au analipaje kodi nikamjibu kuwa "yeye si bora sana kiasi awe anatafutwa yeye tu bali hata nami anapaswa kunitafuta ndiyo maana ya upendo" alijitetea weee lakini nilisimamia hapo hapo. Nilikata simu, nili-block na kufuta kabisa no yake mazima. Miezi 6 sasa hatujawasiliana tena. Ke wa Kizazi chetu cha 2000 ni chuma ulete waliochangamka na pasua kichwa tupu.
 
Mie wanachonishangaza kwa ninibususu hawataki kutoa kwa mwali kuliwa na kwa.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…