Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
😲 unamaanisha kila mdada anaeomba hela mda mfupi baada ya kutongozwa ni muuzaji Miss_MariaahNi Huyo tu bro....ulikutana Na muuzaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😲 unamaanisha kila mdada anaeomba hela mda mfupi baada ya kutongozwa ni muuzaji Miss_MariaahNi Huyo tu bro....ulikutana Na muuzaji
aachoongea mtoa mada ni kweli, kama hujaoa, jipe poleTatizo uwa mnapenda maslay queen
Wanafanya wanawake wengine wote tuonekane hamnazoWanawake wa aina aliyozungumzia mtoa mada mbona wako wengi tu mtaani, kati ya wadada 10, 8 wapo hivyo Mwanamke wa mithali 31
🤣 kuna jamaa alipata wife material shapeless kabisa ila ana rangi ya wastani chocolate na anasura nzuri, ila ni pure shapeless 🤣. Walikaa kwenye mahusiano kama miaka 2 mpaka 3, Jamaa alimpenda sana na alikuwa anataka aanze mchakato wa kumuoa. Ghafla yule mwanamke shapeless kabisa akaanza kunenepa, ila kunenepa kwake ilikuwa juu kabakia mwembamba ila chini ndio unene wote unajaa, yule shapeless alifungasha msambwanda na mahipsi ambao sio wa kawaida ndani ya muda mfupi, ndani ya muda mfupi ilibidi jamaa yangu amfanyie shopping ya nguo maana nguo zote zilikuwa zinambana sana na zingine zilikuwa zina chanika kutokana na ukubwa wa mahipsi/msambwanda. Baada ya muda mfupi jamaa akaanza kuona mapicha picha 🤣. Mwanamke akaanza kumwambia wewe sio type yangu! Mara akaanza kumwambia wewe huwezi kunioa Mimi! Mara amwambie nahisi nilikosea kuwa na mahusiano na wewe! Huwezi kunioa mimi kisha unipeleke kunifuga mkoani (jamaa alipata kazi ya serikali mkoani)!Hahaa wanawake wote wapo sawa tu 🤣🤣, Sema hao shapeless wameona hawana soko ndo maana wakaamua ku invest ktk tabia na ubongo.
Chukua huyo,muweke ndani harafu kisha watokee wanaume kadhaa wanao msifia na kumtaka kwa nguvu zote, ataona eeeh! Kumbe nina lipa. Hapo utaona tabia zake zikifanana na hao wadada wa mjini.
Thamani ya mwanamke na tabia zake zinafuatana na jinsi wanaume wanavyo pishana kumtafuta..
Kizazi kile kile hadi mishangazi ni hivyo hivyo tu sema ni advanced version ya hawa wadada. Disclaimer; sio wote ila majority tabu tupuTatizo uwa mnapenda maslay queen
Naona wanaume sasa tumeambukizwa complaining and sulkingHuyu binti anafanya kazi ofisi moja hapa Dar Es Salaam si mbali sana na jiji. Nlionana naye huko maana ni jengo moja tuna share.
Basi nikaomba urafiki kupitia kwa rafikiye ambaye alinipa namba ya simu. Tukaanza mawasiliano day one tunaongea n.k akanidokeza huwa yeye havai chupi.so anavaa tu suruali ya jeans bil chupi.
Nikashtuka kidogo.anyway nikasema labda usasa. Ingawa nlikuwa nawaza kipapa chake si kitakuwa kimesuguliwa sana na jeans? Anyway...apishie mbali.
Kesho yake akanitumia msg. Ana shida ya tsh 50,000. Nikamchana tu kuwa ninayo but sitampa. Mapema hivi? Nikamwambia kama ana taka tuwe serious aje na mawazo ya maana ya nini tufanye ajiongezee kipato.maana she is working na anaishi alone.akasema sawa.
Siku mbili tatu akanipigia simu.kuniuliza nipo wapi. Nikamwambia nipo home napumzika. Akanijibu kuwa anafika sehemu x kuna issue zake anafuatilia kama sitojali nimwone hapo.
Nikarukia jeans na tshirt na sandals.nikawasha kimeo changu mpaka eneo husika. Akanisubirisha maana alienda mwona mtu kama dk 10 akaja nlipo. Akapanda garini.
Basi nikamwuliza tunakaa wapi tuongee.akaniambia hajala so tuelekee sehemu moja kms kama 12 from there.nika mwambia haina haja hapo karibu kuna restaurant classic nampeleka akapate msosi. Kama hatopenda chakula aache nitampeleka popote pale Dsm na kumlipa fidia ya kuchelewa kula.
Nikampeleka hapo hapo ni walking distance sema kwa kuwa nina kakimeo tuka drive. Akafika akala aka enjoy zilinitoka 22,000 za haraka haraka.siku mind siyo issue kwa marafiki.
Amemaliza kula akaniambia sasa anaweza enda kwake. Aka request uber.tukaja garini tunasubiri huku tunapiga stories.wa uber akaja.akamwambia.asubiri asiwe na mchecheto. Kama dk 40 hivi. Ananiambia sasa naondoka.
Nikamwambia sawa. Naona hashuki garini.akaaga tena.nikamwambia sawa amwahi Uber wake.ndo ananiambia.
"Unipe nauli ya Uber" nlimtizama.nikamwona hana akili. Yaani safari zake,nimempa chakula na anataka nimlipie na Uber.sikumwita aje? Huyu si ni Tutusa aliyefaulu kwa kiwango cha juu?
Nlimwambia tu SIKUPI. akadhani natania. Nikarudia kuwa sikupi shuka please. Akashuka akaondoka. Kesho yake nikamuuliza. Anataka tuwe na uhusiano wa namna gani ili nijue mapema. AkajiBu IDK. Nikanyamaza.
After 5 days akanipigia.akanisalimia.nikamjibu very normal.akaaga. a minute akatuma msg
" Baby nimefiwa na mjomba wangu natakiwa kesho kwenda msibani"
Sikumjibu mpaka leo. Nli mblock maana niliona hana akili. Na amesoma ana Degree from IFM. hawa wanawake wa sasa ni Toleo lipi?mbona hawana akili?
Eti bhana,aokote kitaa huko🤣🤣Tatizo uwa mnapenda maslay queen
Kabla sijachangia naomba kujua lilipo jijiHuyu binti anafanya kazi ofisi moja hapa Dar Es Salaam si mbali sana na jiji
Simply 'I Don't Know'Samahani mkuu IDK ni aina gani ya uhusiano??
Ndiyo😲 unamaanisha kila mdada anaeomba hela mda mfupi baada ya kutongozwa ni muuzaji Miss_Mariaah
Kilichokutokea hata nami pia kilinitokea isipokuwa huyu alinikubalia kuwa Mpenzi wangu akatoka nami tukakaa mahali tukala tukanywa, bili ilitoka kama 48,000, nikawa namsikilizia anasemaje, cha ajabu akasema amefurahi kutoka nami out ila hajisikii kuliwa nami siku hiyo. Nilimkubalia tukaagiza uber tukasepa, nilipofika karibu na kwao tu alianza kaniambia ye ni jobless woman anahitaji support toka kwangu nimsaidie pesa ya matumizi nikashangaa...nilimwambia siku zote huwa anaishije bila mimi? Alijitetea oooh...huwa anasaidiwa na Ndugu zake mara ye ni single mother ana Watoto watatu anawalea mwenyewe ametelekezewa na Me, nikamwambia "pambana ndiyo ukubwa huo", alizidi kulalamika weee...nikamwambia "kama anafanya biashara anijuze mapema maana hata hatujafungua mapenzi kivitendo nitaanzaje kuhudumia ghafla ghafla na je nina uhakika hatanibadilikia mbeleni kunikataa?" eti oooh nisiwe na wasiwasi wowote maana kashanikubalia nilimlipia uber nikataka niondoke akanishika mkono nilimkata jicho aliniachia mwenyewe. Baada ya siku 3 alinipigia simu na kuanza kulalamika"kwanini hunitafuti Mpenzi wako, unajua nimeamkaje, nimekula nini, nimeshindaje nikaona isiwe tabu basi nilimkubalia tu kuwa majukumu yalinizidi ndiyomaana aliona kimya" tukaagana, siku 3 mbele alirudia tabia yake ya kunilalamikia kuwa namkosea sana kutomtafuta nakati ye ni Mpenzi wangu, nilimuuliza alitakaje? Alinijibu kuwa simjali sijui hata anaishi vipi, anakulaje anavaaje au analipaje kodi nikamjibu kuwa "yeye si bora sana kiasi awe anatafutwa yeye tu bali hata nami anapaswa kunitafuta ndiyo maana ya upendo" alijitetea weee lakini nilisimamia hapo hapo. Nilikata simu, nili-block na kufuta kabisa no yake mazima. Miezi 6 sasa hatujawasiliana tena. Ke wa Kizazi chetu cha 2000 ni chuma ulete waliochangamka na pasua kichwa tupu.Huyu binti anafanya kazi ofisi moja hapa Dar Es Salaam si mbali sana na jiji. Nlionana naye huko maana ni jengo moja tuna share.
Basi nikaomba urafiki kupitia kwa rafikiye ambaye alinipa namba ya simu. Tukaanza mawasiliano day one tunaongea n.k akanidokeza huwa yeye havai chupi.so anavaa tu suruali ya jeans bil chupi.
Nikashtuka kidogo.anyway nikasema labda usasa. Ingawa nlikuwa nawaza kipapa chake si kitakuwa kimesuguliwa sana na jeans? Anyway...apishie mbali.
Kesho yake akanitumia msg. Ana shida ya tsh 50,000. Nikamchana tu kuwa ninayo but sitampa. Mapema hivi? Nikamwambia kama ana taka tuwe serious aje na mawazo ya maana ya nini tufanye ajiongezee kipato.maana she is working na anaishi alone.akasema sawa.
Siku mbili tatu akanipigia simu.kuniuliza nipo wapi. Nikamwambia nipo home napumzika. Akanijibu kuwa anafika sehemu x kuna issue zake anafuatilia kama sitojali nimwone hapo.
Nikarukia jeans na tshirt na sandals.nikawasha kimeo changu mpaka eneo husika. Akanisubirisha maana alienda mwona mtu kama dk 10 akaja nlipo. Akapanda garini.
Basi nikamwuliza tunakaa wapi tuongee.akaniambia hajala so tuelekee sehemu moja kms kama 12 from there.nika mwambia haina haja hapo karibu kuna restaurant classic nampeleka akapate msosi. Kama hatopenda chakula aache nitampeleka popote pale Dsm na kumlipa fidia ya kuchelewa kula.
Nikampeleka hapo hapo ni walking distance sema kwa kuwa nina kakimeo tuka drive. Akafika akala aka enjoy zilinitoka 22,000 za haraka haraka.siku mind siyo issue kwa marafiki.
Amemaliza kula akaniambia sasa anaweza enda kwake. Aka request uber.tukaja garini tunasubiri huku tunapiga stories.wa uber akaja.akamwambia.asubiri asiwe na mchecheto. Kama dk 40 hivi. Ananiambia sasa naondoka.
Nikamwambia sawa. Naona hashuki garini.akaaga tena.nikamwambia sawa amwahi Uber wake.ndo ananiambia.
"Unipe nauli ya Uber" nlimtizama.nikamwona hana akili. Yaani safari zake,nimempa chakula na anataka nimlipie na Uber.sikumwita aje? Huyu si ni Tutusa aliyefaulu kwa kiwango cha juu?
Nlimwambia tu SIKUPI. akadhani natania. Nikarudia kuwa sikupi shuka please. Akashuka akaondoka. Kesho yake nikamuuliza. Anataka tuwe na uhusiano wa namna gani ili nijue mapema. AkajiBu IDK. Nikanyamaza.
After 5 days akanipigia.akanisalimia.nikamjibu very normal.akaaga. a minute akatuma msg
" Baby nimefiwa na mjomba wangu natakiwa kesho kwenda msibani"
Sikumjibu mpaka leo. Nli mblock maana niliona hana akili. Na amesoma ana Degree from IFM. hawa wanawake wa sasa ni Toleo lipi?mbona hawana akili?
Mie wanachonishangaza kwa ninibususu hawataki kutoa kwa mwali kuliwa na kwa.......Huyu binti anafanya kazi ofisi moja hapa Dar Es Salaam si mbali sana na jiji. Nlionana naye huko maana ni jengo moja tuna share.