Baba anataka kunidhulumu Nyumba yangu. Kesi bado inanguruma Mahakamani

sasa unataka babako akae wapi ndugu....BABAko namkubali.....na angalizo kwetu.....hawa WATOTO tunaowalea kimapepe......mazao yake ndio HAYA......
 
Tatizo kubwa ni nia ovu ya kuuza nyumba. Wewe unauza nyumba kumuadhibu baba yako kwa kuuza viwanja na kumuacha mama yako na kuoa mke wa pili. Invyoonekana wewe umeishaingia kwenye ugomvi wa mama yako na baba yako. Mama yako kakushawishi umeadhibu baba yako kwa kuuza nyumba ili adhalalike na mke mdogo. Inaonekana wewe ni mtoto mwenye visasi na humpendi baba yako. Hivi ni kweli unataka baba yako akose pa kulala eti kwa vile kao bi mdogo! Ungekuwa unauza nyumba kulipa deni, ningekuelewa. Hivi wewe, baba yako angeacha kukupeleka shule na kukupa elimu iliyokupa mwanga wa kutafuta ungekuwa wapi.

Kumbuka kama ni mipangilio ya kawaida ya Mungu, hiyo nyumba baba yako ataiacha, kwa nini umdhalalishe? Acha matatizo ya mama yako na baba yako yawe yao, usiingilie kwa kumuadhibu baba yako. Mtoto mbaya kweli wewe, au ndiyo MAMA BOY. AIIIBU
 
Unanambia mimi au mtoa mada!???
 
Unajua ni kama kulipa kodi ya nyumba kisha ukafurahi na kujisahau kwa kuona umemkomesha mwenye nyumba wako kumbe badae utatakiwa kulipa tena kodi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…