Baba anatoa nyumba yake ya Kariakoo wakfu iwe mali ya msikiti, huku watoto wake wamepinga hawana urithi, why Watu weusi hatujui Generational wealth


Inshaallaaaah huyu atapata baraka nyingi sana akhera. Atapata mabinti 72 mara mbili na kuwa akipepewa na majini.
Amechagua jambo zuri sana kwa kweli.
 

imagine bei ya viwanja kariakoo ilivyo.. hata viongozi wa huo msikiti uliopewa wakfu wanachekelea,,, utapokea ardhi hiyo na kujenga fremu nyingi kisha Imamu na bakwata wanakula hela za kodi tu na kuolea wake wadogo dogo na kutumbua na familia zao,, huku watoto wa mzee wanakula dagaa
 
Hapo nakubali lakini kama anawakomoa watoto anakosea sana maana watoto kawazaa kwa starehe zake.
 
Mzazi akiwa mjinga, effects zake zinafika hadi kwa kizazi cha nne.
 
Nachukiaga sana binadamu mwenye nguvu zako huna ulemavu, akili timamu kuanza kugombea mali za urithi.
Kwann usitafute zako?, umekuja dunian kuwa tegemezi?, yaan mzee wawatu kaamua zake atumie jasho lake kujitolea kwaajili ya dini yake (sadaka yenye kuendelea) ila mitoto utakuta imefuga vitambi na misuli inagombea mali za mzee wao ambazo muda huo utakuta mzee alishatimiza wajibu wake wa kuwalea, kuwalisha, kuwasomesha n.k. ila bado wanampangia matumizi ya mali zake😡
 

mtoto hajaomba azaliwe,, baba kawazaa kwa starehe zake,, sasa why awaache wateseke ?

kama alikuwa mbinafsi alipaswa asizae watoto
 
M

Huwezi kumpangia mzee wako matumizi ya mali yake.

Hapo hakuna namna kikubwa tafuta mali yako mwenyewe

Mzee yupo sahihi kabisa.

min -me
secretarybird
Monetary doctor
Mali yake kama asinge zaa, ukisha za watoto hiyo ni mali ya familia tumia akili wacha kutumia kijambio kufikiri ...mambo ya kipumbavu kama hayo ndiyo yamefanya kule marekani watu kukataa hata ndoa maana unaoa una zaa watoto kisha mke analeta mizozo unapokonywa mali anapewa mwanamke wakati watoto ndiyo ulio watafutia mali ...kuna familia moja mtaani yule mzee alioa na kupata mali na watoto basi alipokufa huku nyuma mke kaanza kutumia mali dhidi ya watoto anadai ni mali za mumewe wao watafute za kwao watoto wote wamealibikiwa maisha ..swali je huyo mume angefufuka na kuona kilicho tokea ange pendezwa
 
Hii ni sawa na kamari ya mkanda.
Kila utakapochomeka peni unaliwa.
Kwanini bilionea Mo au Bakhressa wasitoe mabilioni ya kununua ghorora Kariakoo kwaajili ya msikiti?

Ardhi ya kariakooo ni kama mgodi wa dhahabu isiyoisha... hakuna tajiri aliewahi kutoa sadaka ardhi ya kariakoo.. hao kina bakhressa sadaka wanazitoa ardhi za huko chamazi ama kisemvule, ila sio kariakoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…