Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Injili inahubiriwa popoteHivi huyo anayejiita Askofu anahubiri dini au anafanya siasa? Achague moja, au ni msemaji wa CHADEMA?
Siasa ni IMANI kama ilivyo dini.. Kuna mstari mwembamba sana kati ya dini na siasa.. Waumini wa dini ndio hao hao wafuasi wa siasa kinachobadilika ni majina na maeneoHivi huyo anayejiita Askofu anahubiri dini au anafanya siasa? Achague moja, au ni msemaji wa CHADEMA?
Ukiangalia historia ya kupata uhuru wa mtu mweusi, Viongozi wa dini walikuwa activist wa kutetea haki za raia, Kiongozi wa dini anatakiwa ahubiri haki. Hii ni tofauti na huku kwetu ambapo viongozi wa dini wana side na watawala.Hivi huyo anayejiita Askofu anahubiri dini au anafanya siasa? Achague moja, au ni msemaji wa CHADEMA?
"Umebarikiwa Kuliko wañawake wote"Ukiangalia historia ya kupata uhuru wa mtu mweusi, Viongozi wa dini walikuwa activist wa kutetea haki za raia, Kiongozi wa dini anatakiwa ahubiri haki. Hii ni tofauti na huku kwetu ambapo viongozi wa dini wana side na watawala.
Hata hivyo tuna bahati kuwapata watu kama Askofu Mwamakula, Sheikh Ponda na wengine kama hao.
Wewe Ni chawa wa NdugaiMwamakula ni chawa wa lisu
Bwashee umeona ehh!Hahahaaaa...... Animal Farm?
Matusi ya kidini ni hatari sana bwashee!
Afanye vyote ni vizuri.Hivi huyo anayejiita Askofu anahubiri dini au anafanya siasa? Achague moja, au ni msemaji wa CHADEMA?
Unampangia kama nani? Angeisifia ccm ungekuja toa shombo hum?Hivi huyo anayejiita Askofu anahubiri dini au anafanya siasa? Achague moja, au ni msemaji wa CHADEMA?
Ukigoogle side effects za madawa fulani ya kurefusha siku haya yametamkwa! Ugonjwa umekimbilia juu...kuna mbaba miaka ya 2000's alikua anatembea na mahotpot...(serious) ugonjwa ulimpanda kichwaniTuweke itikadi za vyama pembeni, kiukweli Job Ndugai ni mwehu. Taifa halijawahi kuwa na Speaker Wa Bunge kigeugeu na mvunjaji wa katiba kama Job Ndugai.
Haendeshi bunge kisomi kama Speaker, anaendesha bunge kama kiranja wa darasa la tatu.
Je mliokisoma kitabu hicho mliona nini kwenye maandishi yake ? hebu tusimulieni na sisi wengine tuelewe .
View attachment 1772482
Mkuu tunakushukuru sanaAnimal Farm is an allegorical novella by George Orwell, first published in England on 17 August 1945.[1][2] The book tells the story of a group of farm animals who rebel against their human farmer, hoping to create a society where the animals can be equal, free, and happy. Ultimately, however, the rebellion is betrayed, and the farm ends up in a state as bad as it was before, under the dictatorship of a pig named Napoleon.
Hivi hana haki ya kuuliza au kutoa ushauri sababu ni askofu??Hivi huyo anayejiita Askofu anahubiri dini au anafanya siasa? Achague moja, au ni msemaji wa CHADEMA?
Acha sindano ikuingieMwamakula ni chawa wa lisu