Baba Askofu Bandekile Mwamakula asema inawezekana Job Ndugai alisoma Kitabu cha Animal Farm

Baba Askofu Bandekile Mwamakula asema inawezekana Job Ndugai alisoma Kitabu cha Animal Farm

1. Chochote kinachotembea kwa miguu miwili ni adui.

2.Chochote kinachotembea kwa miguu minne au chenye mabawa ni rafiki.
3.Ni marufuku kwa mnyama yoyote kuvaa nguo.

4. Ni marufuku kwa mnyama kulala kitandani.

5. Ni marufuku kwa mnyama kunywa pombe.

6. Ni marufuku kwa mnyama kumuua mnyama mwingine.

7. Wanyama wote ni sawa.
 
Ila sasa mambo hayakuwa hivo . Pigs kama wasomi kwa vile walikuwa na mpango kazi wa bw. Jones, waliouokota jalalani, usiku walivunja kanuni nyingi kama vile kulala vitandani, kucheza disco, hata kula mayai ya kuku. Sasa wanyama wengine (mafala),wakienda kuhakiki zile sheria na kanuni walizojiwekea pale lango kuu la shamba, walikuta zimefutwafutwa , na kusomeka ; all animals are equals, but others are equals than others. Na hapo ndipo kitabu kinapo furahisha. Ni moja ya si cha kukosa .
 
CHADEMA hamsomeki, hakuna vision wala mission, mnaendesha Chama kama familia ya mtu.
Uonevu na uzandiki ndio kazi yenu, hao akina mama mlikuwa mnawabania ili iweje?
 
Hivi huyo anayejiita Askofu anahubiri dini au anafanya siasa? Achague moja, au ni msemaji wa CHADEMA?
Kama hawa walivyokuwa wanafanya. Mtumishi anayejiita wa Mungu na hapiganii haki huyo ni wakala wa shetani tu
E0ZyooGXMAATOaB.jpeg
 
CHADEMA hamsomeki, hakuna vision wala mission, mnaendesha Chama kama familia ya mtu.
Uonevu na uzandiki ndio kazi yenu, hao akina mama mlikuwa mnawabania ili iweje?
Bila mtutu wa Magu ambaye naye Mungu kamtupa kuzimu haya yote yasingetokea.
 
Hivi wabunge siyo wanasiasa? Hivi maaskofu na wachungaji kule bungeni hufanya kazi gani kule? Wanahubiri dini au siasa?
Achana na huyo kimeo wa magu maiti ya kuzimu. Muulize Lwakatare alikuwa nani na Gwajima anafanyanya nini bungeni?
 
Hivi huyo anayejiita Askofu anahubiri dini au anafanya siasa? Achague moja, au ni msemaji wa CHADEMA?
acha ukicheza na viongozi wa kiimani utapata laana mi namkubali sana huyo askofu japo mi ni muisilamu
 
Naona unaleta madharau kwa sie darasa la 3.

Hebu weka mfano mwingine aseee.
Tuweke itikadi za vyama pembeni, kiukweli Job Ndugai ni mwehu. Taifa halijawahi kuwa na Speaker Wa Bunge kigeugeu na mvunjaji wa katiba kama Job Ndugai (Mwehu).

Haendeshi bunge kisomi kama Speaker, anaendesha bunge kama kiranja wa darasa la tatu.
 
Back
Top Bottom