Hivi mtu kutoa mawazo yake, tayari amekuwa mwanasiasa? Unaweza kutoa definition ya mwanasiasa?Achague moja, kuwa mwanasiasa au Mchungaji. au msemaji wa cdm
Alichokisema huyo Askofu ni kuonesha undumilakuwili na unafiki wa Ndugai. Kuonesha unafiki wa mtu, kunamfanya mtu kuwa mwanasiasa?