Baba Askofu Bandekile Mwamakula asema inawezekana Job Ndugai alisoma Kitabu cha Animal Farm

Achague moja, kuwa mwanasiasa au Mchungaji. au msemaji wa cdm
Hivi mtu kutoa mawazo yake, tayari amekuwa mwanasiasa? Unaweza kutoa definition ya mwanasiasa?

Alichokisema huyo Askofu ni kuonesha undumilakuwili na unafiki wa Ndugai. Kuonesha unafiki wa mtu, kunamfanya mtu kuwa mwanasiasa?
 
Siasa ni IMANI kama ilivyo dini.. Kuna mstari mwembamba sana kati ya dini na siasa.. Waumini wa dini ndio hao hao wafuasi wa siasa kinachobadilika ni majina na maeneo
Siasa na Dini havitengamani
 
Hivi mtu kutoa mawazo yake, tayari amekuwa mwanasiasa? Unaweza kutoa definition ya mwanasiasa?

Alichokisema huyo Askofu ni kuonesha undumilakuwili na unafiki wa Ndugai. Kuonesha unafiki wa mtu, kunamfanya mtu kuwa mwanasiasa?
Kwa unavyotoka mapovu kwa huyo askofu, utakuwa kondoo wa Baba mchungaji.
 
Mkuu kweli umesoma vitu vingi. Hongera sana.
 
"Mwanakondoo ameshinda tumfuate"
haya maneno sio ya ki spoti spoti
 
Askofu mwenyewe mjinga tu huyo, hana lolote hata ,waumini wake wajitafakari kuhudhuria mahubili yake, anakaribia kuwa KICHAA...
 
MWANA SIASA ALIYEKULA HELA ZA MABEBERU HUYU ANAHAHA JINSI YA KUZILIPA MWENZIO LISSU YUKO HUKO KAOLEWA ANALIPA
 
CHADEMA hamsomeki, hakuna vision wala mission, mnaendesha Chama kama familia ya mtu.
Uonevu na uzandiki ndio kazi yenu, hao akina mama mlikuwa mnawabania ili iweje?
Huo upendo wa kuwapa ubunge mliutoa wapi baada ya kuwapora majimbo ?!
 
Hivi huyo anayejiita Askofu anahubiri dini au anafanya siasa? Achague moja, au ni msemaji wa CHADEMA?
Imepenya hiyoooo... pyuuuu...!😂
Baba Askofu kapiga panyewe.
Wajane mna visa sana.
 
huyu askofu anapenda sana tundu, sijui alifanywa nini? halafu huyu sio askofu kabisa.
 
Hivi huyo anayejiita Askofu anahubiri dini au anafanya siasa? Achague moja, au ni msemaji wa CHADEMA?
labda unashindwa kuelewa nini maana ya mtumishi wa mungu,na endapo ungeelewa basi usinge bandika bandiko lako hapa
 
You nailed it Mshana!The most famous quote in the book is:All animals are equal,but some are more equal than others.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…