fathergetho
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 1,556
- 914
huyu askofu anapenda sana tundu, sijui alifanywa nini? halafu huyu sio askofu kabisa.
The animal farm! kwa staili hii kweli ndungai atapenda kuwepo na Uhuru wa habari,aslani hapana kabisa ka! Hili tusi ni la kidipromasia daraja la five π π πππHahahaaaa...... Animal Farm?
Matusi ya kidini ni hatari sana bwashee!
Hivi huyo anayejiita Askofu anahubiri dini au anafanya siasa? Achague moja, au ni msemaji wa CHADEMA?
Wote wale wale, Wamejificha kwenye kivuli cha dini.... kumbe mashwetainMshauri kwanza sheikh alhadi katika kampen za ccm
Wote wale wale, Wamejificha kwenye kivuli cha dini.... kumbe mashwetain
Kama ni mungu uliyeandaika hapa ni sawa.. ila Mungu muumba huandikwa kwa kuanza na herufi kubwa. Ikianza na herufi ndogo inamaanisha mizimu yaani ghost, Lakini Mungu huyu ni Almighty God. Sasa kama huyo mch. anamtumikia mzimu, ni sahihi kufanya siasalabda unashindwa kuelewa nini maana ya mtumishi wa mungu,na endapo ungeelewa basi usinge bandika bandiko lako hapa
Kitabu kile kwa kifupi kilikuwa kinamhusu mkulima aliyekuwa anafuga mifugo mingi tu wakiwemo ng'ombe, kuku nguruwe na wengine. Siku moja wale wanyama wakakutana na kuamua kumpindua mwanadamu yule maana walichoka na kutawaliwa. Wakampindua na nadhani nguruwe ndiye alichaguliwa kuwa kiongozi wao. Walitunga sheria na moja ya sheria ni "All animals are equal". Baada ya muda nguruwe wakaanza kujipendelea zaidi na ndipo wakaibadilisha hiyo sheria wakasema "All animals are equal but some animals are mor equal than others" ili waweze kufanikiwa kutawala na kujinufaisha zaidi kuliko wanyama wengine. Kitabu hiki kilipigwa markefuku na J. K. Nyerere na kikaachwa kusomwa mashuleni maana kilikuwa kinatumika kwenye somo la kiingereza nadhani english literature. Sikumbuki vizuri maana ni zamani sana.Je mliokisoma kitabu hicho mliona nini kwenye maandishi yake ? hebu tusimulieni na sisi wengine tuelewe .
====
Inaonekana Spika Ndugai alisoma kitabu cha Animal Farm! Bunge chini ya uongozi wake halikumpa Tundu Lissu nafasi ya kusikilizwa na kujitetea, lakini alihoji akiwa katika Bunge hilo hilo chini ya uongozi wake kama kumi na kenda wa CHADEMA walipewa muda wa kusikilizwa na kujitetea!
Tafuta kitabu cha animal farm utamuelewa vizuri Askofu.Hivi huyo anayejiita Askofu anahubiri dini au anafanya siasa? Achague moja, au ni msemaji wa CHADEMA?
Gwajima je?Hivi huyo anayejiita Askofu anahubiri dini au anafanya siasa? Achague moja, au ni msemaji wa CHADEMA?