Baba Diamond: Usisubiri nife mwanangu, nipeleke Hospitali

Mimi nauliza swali nataka jawabu.
Mwanamke anakuwa na mume usiku wanafanya mambo ya baba na mama.
Baada ya wiki mbili mama anamwambia baba nina mimba..baba anatika nduki huku mapovu yakimtoka oooh hio sio yangu.
Haonekani tena.
Anampoteza kabisa mwamamke.
Mwana mke analea mimba
Anazaa
Analea mtoto
Ana msomesha kwa tabu
Baba hana habari wala mtoto hamjui
Mtoto anafanya yake
Anafanukiwa anatengeneza fedha
Ati Ndio li baba linakuja ooh mie baba ako...bulshit....
Suala kuwa baba ni kutia kumwaga sperm tu ndio una qualify kuitwa baba ?
Jee huyo ni baba au mtia mimba tu ?
Baba asie kuwa na wajibu sio baba na hastahili kuitwa baba.

Kutia mimba sada hivi unaweza kuwekwa kwenye maabara unawekwa sperm na unapata mimba...sasa yule mwenye sperm zake atakuja baadae aseme mie ni baba ako nisaidie ?
Mababa mna wajibu wa kulea watoto wenu.
Unapo fanya kama hivi wewe sio baba ni dada umekimbia wajibu wako kuwa baba
 
Be blsddddddd
 

Nilitakakuingia DEEP nkashutka e jukwaasilake
 
Siku ya msiba ndiyo atajua umuhimu wa mzazi,Diamond hajui thamani ya sha.hawa
 
Hivi dayamondi ana baba? Mi nilijua babake bi mzee ngurumo
 

Watu wana uchungu na maisha waliyopitia wakati wa makuzi yao hasa mahitaji ya lazima kwa mtoto na hata ukijana,then kirahisi tu baada ya mtu kufanikiwa mtu mwingine anaibuka kutaka kushare alivyotafuta wakati yeye alikimbia ku-share naye alivyotafuta yeye(baba) hapo kabla.

Then inategemea style alioachana na mama yake kama ilikuwa mabaya sana na ya udhalilishaji hata mimi pua yangu haiwezi kugusa kwake na hii itakuwa ndivyo ilivyo maana upendo alionao Diamond kwa mama yake inawezekana alipigania maisha uhai wake kipindi mama na baba wapo katika mtafaruku.

Huku ndo kujifunza bwana,ni wangapi wanaachana na wake zao kutokana na sababu mbalimbali na bado baba anatoa huduma home kwa mama na kwa watoto hata kama ameoa mwingine,je iwapao alifanya hivi Monds angemfanyia baba yake haya...asaidiwe na aliokuwa anawasaidia bwana!
 
wewe ni mwenyekiti wa wanawake wenye roho mbaya,
kama ndivyo ulivyo wazazi wako wamekula hasara.
 
Niwe open kabisa ningelikuwa Nasib Abdul hakyamungu baba huyu nisengeli msaidia hata kiduchi wacha mungu anihukumu

Usiseme hivyo, kama unaweza kumpa msaada usie mjua why not your Dad? Mpe na Usijali nini Anaongea wewe toa lile fungu lako ambalo hata Kwa mungu anaona Ukiwa kama mtoto wajibu wako umetimiza, Ya binadamu yawache ...
 
Wacheni upotofu......Mwenyezimungu ni mjuzi na ndiye atakayetoa hukumu ya haki.Kama baba anamakosa ataadhibiwa kwa makosa yake na mtoto pia ataadhibiwa kwa makosa yake.Kijana elewa kwamba kutokumtii baba yako ni makosa makubwa sana.Mfano mmoja nikupe...kama baba yako anafanya kazi ya udobi wewe kama mtoto huna haki kabisa ya kumpelekea nguo akufulie umlipe pesa.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya mtia mimba(dungadunga) na baba.
 

Sikutaka kucoment ila nalazimika
Yy kama baba amemsaidia nn diamond mtt alipotaka msaada wa kusoma alimsomesha?
 
na hili liwe fundisho si huwa wanaume wanajigamba akikuwa atanitafuta tu sasa hayo, kwani mtt ni diamond peke yake? hao wanaonshauri muda huu aombe msaada walikuwa wapi kumshauri ajali mtt? diamond hakuna kama mama sugua gaga wangapi wamekufa ?
 
Wakati huyu mzee ana pesa ndefu ikawa Diamond akimfata magomeni kumsalimia tu alimfukuza akimwita chokoraa, akuwai kujua anakula nini wala anapona na nini akiugua. Leo unatafuta huruma kwenye media, malipo siku hizi ni hapa hapa duniani.
Watoto ulioona wa maana wako wapi? Diamond angeishia kwenye drugs kama wenzake wa Tandale ungemkumbuka? Mi naomba usife mapema ili uendeleee kukiona cha moto.
 
na hili liwe fundisho si huwa wanaume wanajigamba akikuwa atanitafuta tu sasa hayo, kwani mtt ni diamond peke yake? hao wanaonshauri muda huu aombe msaada walikuwa wapi kumshauri ajali mtt? diamond hakuna kama mama sugua gaga wangapi wamekufa ?
Unajuwa dada si kwamba hatutambui makosa ya babake diamond.la hasha lakini si lazima kumlipiza ubaya ndio utakuwa umemfundisha. ukimtendea mazuri utamfundisha zaidi kwani hatafanya ubaya kwa wengine tena.atajutia kosa lake maisha yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…