GE2025 Baba Levo huenda akashinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Kigoma Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kata moja tu ndiyo ukimbilie huku!!😀

Huyo Kilumbe anaongoza kwa jumla ya kata zilizoachia matokeo mpaka sasa tena gap kubwa tu.
 
Huwezi kushinda Ubunge kwa kituo kimoja cha Kupigia (Tawi) Kura, kwa takwimu hizi ulitakiwa kusema ameongoza au to mkeka wa vituo au matawi yote.
kwani leo kura zinapigwaje? Ni wajumbe ie selectef few au ni wanachama wote wa jimbo hilo? But how is this possible kama ni wanachama wote?

Au ni wajumbe wa kila kata, then zinaunganishwa? Nieleweshe?
 
Tuliwashauri wekeni kiwango cha chini kabisa cha elimu kwa anayewania Ubunge iwe Degree moja, mngenasa chawa wote.

Sasa kuna siku mtajikuta Bumge nzima linakuwa la machawa watupu.
Uchawa ni tabia tu wala haihusiani na kiwango cha usomi. Hivi Chalamila Mkuu wa Mkoa wa Dar siyo msomi?
 
Mtoa mada ni muongo mimi nipo kigoma matokeo ya jumla hayajatoka ila kuna sehemu kama kata ya kipampa baba levo anaongoza kata za majengo na machinjoni anaongoza kulumbe mwanaga kusini kilumbe mwanga kaskazini baba levo anaongoza
 
Mshahara wa kwanza bungeni tunabetia wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…