Baba Levo : Niko tayari kumtambulisha Mondi nyumbani kwetu, wanaume wote Kigoma tuko hivi

Baba Levo : Niko tayari kumtambulisha Mondi nyumbani kwetu, wanaume wote Kigoma tuko hivi

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Katika hali ya kushangaza baba Levo ameulizwa yapi maoni yake kwa wanaomuita chawa?.
Jamaa kasema hana muda na watu hao na muda wowote ule atampeleka Diamond nyumbani kwao Kigoma kwenda kumtambulisha. Pia amesema mambo anayoyafanya ni sample tu ya vijana wa Kigoma kwa hiyo watu wasishangae sana.
Jamaa huyo pia alisema yuko tayari kumzalia hata mtoto rais wa wasafi.
Watu wa Kigoma njooni tubishane kwenye huu uzi.
 
Hizo ni KIKI tu mpumbavu yeye

WCB wameona Ali na Harmo wana trend kupita maelezo, nasibu akaona isiwe nongwa wacha ampigie huyo falah amwambie sasa Fanya hivi sema utakwenda kunitambulisha kigoma
Last time nimeangalia youtube habari ya diamond inatrend labda uniambie hao wengine wanatrend kupita kupita maelezo umewaona wapi, harmonize ametoa wimbo sijaona hayo matokeo chanya ya kutrend kwake kwenye wimbo.
 
Huo siyo utani bwashee.

Yapo mambo ya kutania lakini siyo hili la mtu kujitangaza anapumuliwa.

Na msisahau kuwa baba Levo amewahi kuishi jela, labda ndio sababu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom