Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahunga mkono maoni haya hawa majamaa utasema bushmanKama uliwahi kusikia kwamba binadamu zamani walikuwa sokwe, basi ujue ni watu wa Kigoma, ndio maana mpaka leo kule kwenye hifadhi ya taifa ya Gombe kuna Waha wengine wamebaki huko tu wananyeshewa mvua.
Sawa laazizi wa WCB ...sasa nakutuma kwa WCB waambie ikiwezekana warekodi mkanda wa X nasibu akimkuna huyo baba levo labda ndio somo litaeleweka vizuriLast time nimeangalia youtube habari ya diamond inatrend labda uniambie hao wengine wanatrend kupita kupita maelezo umewaona wapi, harmonize ametoa wimbo sijaona hayo matokeo chanya ya kutrend kwake kwenye wimbo.
Shemeji yenu huyo[emoji23]Baba Levo aache ufara, ajiongelee yeye Kama yeye!!!!
Jibu lako haliendani na hoja uliyoileta.Sawa laazizi wa WCB ...sasa nakutuma kwa WCB waambie ikiwezekana warekodi mkanda wa X nasibu akimkuna huyo baba levo labda ndio somo litaeleweka vizuri
Aisee duhhHuo siyo utani bwashee.
Yapo mambo ya kutania lakini siyo hili la mtu kujitangaza anapumuliwa.
Na msisahau kuwa baba Levo amewahi kuishi jela, labda ndio sababu!
Wewe unaweza ukatafuta KIKI kwa kupakuliwa?Hizo ni KIKI tu mpumbavu yeye
WCB wameona Ali na Harmo wana trend kupita maelezo, nasibu akaona isiwe nongwa wacha ampigie huyo falah amwambie sasa Fanya hivi sema utakwenda kunitambulisha kigoma
Atamtambulisha kwaoAmesema pia atabadili dini kuifuata dini ya Diamond.
Katika hali ya kushangaza baba Levo ameulizwa yapi maoni yake kwa wanaomuita chawa?.
Jamaa kasema hana muda na watu hao na muda wowote ule atampeleka Diamond nyumbani kwao Kigoma kwenda kumtambulisha. Pia amesema mambo anayoyafanya ni sample tu ya vijana wa Kigoma kwa hiyo watu wasishangae sana.
Jamaa huyo pia alisema yuko tayari kumzalia hata mtoto rais wa wasafi.
Watu wa Kigoma njooni tubishane kwenye huu uzi.
Kama amewahi kuishi na jela hapo itakuwa kweli Yani , anapumiliwaHuo siyo utani bwashee.
Yapo mambo ya kutania lakini siyo hili la mtu kujitangaza anapumuliwa.
Na msisahau kuwa baba Levo amewahi kuishi jela, labda ndio sababu!