Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,527
- 5,762
We naye usinichoshe atiii nenda kapigwe miti na wachawi huko yakheeeNaona jomba kiwango chako cha kujiamini kipo chini kiasi kwamba unategemea matusi na kejeli kujibu hoja. Pitia comment yako ya kwanza , jibu langu kwako na jibu lako tena kama vinaendana au ulikurupuka tu.