MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Amesema pia atabadili dini kuifuata dini ya Diamond.
Huo siyo utani bwashee.Hivi unajua kimchezomchezo unaweza kukuta kweli dogo analibokoa hilo jamaa, maana inakuaga utani utani kumbe kweli jamaa analiwa
Last time nimeangalia youtube habari ya diamond inatrend labda uniambie hao wengine wanatrend kupita kupita maelezo umewaona wapi, harmonize ametoa wimbo sijaona hayo matokeo chanya ya kutrend kwake kwenye wimbo.Hizo ni KIKI tu mpumbavu yeye
WCB wameona Ali na Harmo wana trend kupita maelezo, nasibu akaona isiwe nongwa wacha ampigie huyo falah amwambie sasa Fanya hivi sema utakwenda kunitambulisha kigoma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wachaa weeeAmesema pia atabadili dini kuifuata dini ya Diamond.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kigoma Imechafuka Sasa Hivi
Watu Wavute Subira Kuna Mengi Sana
Diamond Anakwenda Kutambulishwa
Tupate Ufafanuzi!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe wanaume wa Kigoma ni mlenda mlenda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huo siyo utani bwashee.
Yapo mambo ya kutania lakini siyo hili la mtu kujitangaza anapumuliwa.
Na msisahau kuwa baba Levo amewahi kuishi jela, labda ndio sababu!