Nakushauri kama Rafiki tu kwamba usimwache huyo binti
Binafsi sipendi hiyo michezo ya kunyonywa dushee na wanawake wengi waliowahi kunipa hiyo huduma niliishia kiwaona kama malaya tu (yeye anadhani ndo ananichanganya kumbe kwangu ni kinyume chake)
Chakufanya ni kumweleza yale usiyoyapenda kwenye sex ili aache hizo tabia
Huwezi amini mkuu huenda ni wewe tu ndo umepewa hiyo huduma na umemhukumu wa ukarimu wake kwako
Huenda pia hamkuwahi kuyajadili haya kwenye mapenzi mfano maswali ya kizushi kwa wapendanao kwamba no wapi ukiguswa password ipo?[emoji2][emoji2]
Msamehe bro utamuumiza sana msamehe sana sana msamehe zungumza nae tu atabadilika
Sent using
Jamii Forums mobile app