Baba Mkwe kapanga kunipa zawadi ya nyumba, viwanja na pesa za mtaji kama zawadi nikimuoa binti yake. Tatizo nimepoteza hisia na binti yake

Baba Mkwe kapanga kunipa zawadi ya nyumba, viwanja na pesa za mtaji kama zawadi nikimuoa binti yake. Tatizo nimepoteza hisia na binti yake

Mbna unakazania hili mkuu au ndio michezo yako...usiongezee maneno kwenye andiko langu hayo ni yako
Ww kwann unateseka na maneno yangu jaman mm namjibu mwingine
Hapo kasema break ni balls mm nmemaanisha hukumkuta ulivyotarajia kosa langu lipi

Haya baki salama na uzi wako bro
 
Hapana Kama anapenda nikimwambia aache atatafuta kwingine pa kunyonya....nishapoteza hisia na yeye.

Kwani la saba B ndio hawajui mapenzi mkuu?
Mm wangu alikuwa anaona kuninyonya ndyo nafurahi ila nilikwambia madhara yake saivi tunanyanduana bila kuninyonya ni romance basi ila labda we unapenda ukiingia kwenye mechi unaingiza Tu [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama wamasai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakushauri kama Rafiki tu kwamba usimwache huyo binti
Binafsi sipendi hiyo michezo ya kunyonywa dushee na wanawake wengi waliowahi kunipa hiyo huduma niliishia kiwaona kama malaya tu (yeye anadhani ndo ananichanganya kumbe kwangu ni kinyume chake)
Chakufanya ni kumweleza yale usiyoyapenda kwenye sex ili aache hizo tabia
Huwezi amini mkuu huenda ni wewe tu ndo umepewa hiyo huduma na umemhukumu wa ukarimu wake kwako
Huenda pia hamkuwahi kuyajadili haya kwenye mapenzi mfano maswali ya kizushi kwa wapendanao kwamba no wapi ukiguswa password ipo?[emoji2][emoji2]
Msamehe bro utamuumiza sana msamehe sana sana msamehe zungumza nae tu atabadilika

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kaka ushauri wako ni mzuri lakini nishapoteza hisia nae kabisa
 
Niko kwenye mahusiano na mdada mmoja ambaye tulikutana kwa mara ya kwanza masomoni UBELGIJI miaka 6 iliyopita, nilimpenda sana na kwa kweli tuliishi nae mda mrefu bila kukwichikwichi kutokana na misimamo yake... Huyu mdada kwetu anajulikana na kila ndugu wa karibu na hata kwao najulikana na wote wanajua lazma tutaoana.

Nilikutana na huyu mrembo mwaka 2013, Yes ni zaidi ya mzuri..mrembo haswa na hata aliponiambia misimamo yake ya kutokumgusa kwanza ilibidi niheshimu maana kipindi hicho tulikuwa masomoni, nikawa nagonga nje japo kwa heshima sana asiiue pale ninapojisikia.

Sasa bwana mwaka 2017, tulirudi wote likizo na baada ya mda Mimi nikapanga kwenda Rwanda kutembea aliposikia na yeye akataka aungane na Mimi, kwa vile kwao walikuwa wananifahamu Wala hawakusita kumruhusu..na hapa ndio ikawa mara ya kwanza kushiriki nae ngono tukiwa Rwanda na hapa ndipo alipoanza kunikinai kabisa pamoja na uzuri wake.

Sijui Kama niko nyuma ya dunia hii wakuu lakini kwa Mimi mtu anaeitwa mke wangu sitegemei kuona ule upuuzi, niko selective sana.. Yaani ile namuandaa ili nimpige mambo nashangaa anaanza kunyonya Dushe, then anataka nimromance nilishindwa kwa kweli nikahisi huyu kashalamba madushe mengi, ile nataka kuchomeka ananiambia hapana nimnyonye papuchi yake kwanza..nikampiga jicho akatulia.

Na mambo mengine ambayo unaona kabisa haya ya kimalayamalaya, tangu niwe nae sijawahi hata kumromance nahisi kinyaa sana....Mimi Niko selective sana kwenye haya masuala ya mahusiano yaani nataka kila kiungo kifanye kazi yake na kiingie sehemu yake sahihi hapo tupigane style zote na si vinginevyo japo mapenzi ni zaidi ya uchafu lakini Mimi hapana aisee... hizi habari za kuchokoana chokoana na kusikochokonoleka Mimi sikuwezi...tangu kipindi hicho niko nae mpaka leo lakini sitarajii kumuoa japo kwa mawazo yake anaamini mimi ndio mume wake

Hapa Niko nje ya nchi na nikirudi huko nyumbani kwetu na kwao washajiandaa ili taratibu zingine za kuwa pamoja zifanyike, Nawaonea huruma sana maana hawajui nawaza nini, hawataamini kabisa nitakachokifanya...Nawapelekea jina jipya ambalo hata hawalijui na sitopoteza mda naoa haijalishi atakubalika au hakubaliki.. huyo wa kwao kwa Sasa siwezi hata kumromance.

Baba Mkwe hizo zawadi nazosikia unatangaza kuzitoa, subiri utampa mwingine.
Inabidi upoteze hisia na hizo zawadi za baba mkwe
 
Ww kwann unayeseka na maneno yangu jaman mm namjibu mwingine
Hapo kasema beak ni balls mm nmemaanisha hukumkuta ulivyotarajia kosa langu lipi

Haya baki salama na uzi wako bro
Unazungumzia kuzibuliwa mitaro hahaa mungu anakuona hahah
 
Unazungumzia kuzibuliwa mitaro hahaa mungu anakuona hahah
[emoji54]ww kaka ebu kua astaghfirullah nmesema wapi ya mitaro au ndo kilichopo kwa ubongo wako

Nitake radhi tafadhali
 
Sawa kaka ushauri wako ni mzuri lakini nishapoteza hisia nae kabisa
Unatakiwa uishi na hawa watu kwa akili
Ukiona unashindwa kuishi nao ujue huna akili
Huko ndani hata kama unapigwa ila ndoa inadumu basi ujue hiyo ndio akili yenyewe
Jiongeze
 
We jamaa ni mshamba sana na utapata tabu ukimwacha huyo dada la muhimu ulipaswa umueleze unachopenda basi kwanza ww mwenyewe umekiri ni muhuni afu unamuhukumu dada wa watu bila ushahidi wowote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatakiwa uishi na hawa watu kwa akili
Ukiona unashindwa kuishi nao ujue huna akili
Huko ndani hata kama unapigwa ila ndoa inadumu basi ujue hiyo ndio akili yenyewe
Jiongeze
Haahaha we jamaa Aiseee hahaha haya bhana
 
We jamaa ni mshamba sana na utapata tabu ukimwacha huyo dada la muhimu ulipaswa umueleze unachopenda basi kwanza ww mwenyewe umekiri ni muhuni afu unamuhukumu dada wa watu bila ushahidi wowote

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ushamba wangu kwenye kunyonywa Dushe na kunyonya papuchi au?
 
Kwani ww ulisema umemzibua mtaro kwenye mada yako?! Au unataka mawazo ya wenzio yawe kama yako?!
Mkuu kwani ile comment iliyokuwa inazungumzia hayo mambo pale juu ni ya nani?
 
Back
Top Bottom