Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 2,049
- 5,449
Ni hivi namsikitikia baba mkwe wako na pia mke wako. Sasa kama una elimu ya kutengeneza pesa si utengeneze zako.Huyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuri hata kiakili na mipango na elimu kubwa ninayo.
Nikaona nimuwowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie mwanaye pesa kidogo. Naona kimya tu miaka sasa. Mtoto mwenyewe mmoja tu anaye. Sasa na juzi namwambia amshauri baba yake amgawie urithi mapema watu tuyajenge mapema. Kaenda mwambia mzee wake kawa mkali.
Yaani anapewa ushauri wa kitaalamu na sisi wenye uelewa na elimu kubwa anakuwa mbogo. Sijui ana shida gani huyu mzee. Angetumia vizuri elimu yangu angefika mbali sana.
Mpaka leo hajashare pesa yake ya kiiunua mgongo na bintiye. Haya basi mpe nyumba moja ya urithi nayo hataki sasa sijui anataka akae zote yeye ili iweje. Simwelewi kabisa.
We ndio mwenye akili na elimu kubwa bado inategemea mali za Urithi tena ambaye sio Baba yako?Nikaona nimuwowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie mwanaye pesa kidogo. Naona kimya tu miaka sasa. Mtoto mwenyewe mmoja tu anaye. Sasa na juzi namwambia amshauri baba yake amgawie urithi mapema watu tuyajenge mapema. Kaenda mwambia mzee wake kawa mkali.
Baba ako amekupa nn?Mimi hakuna sehemu nimekutukana. Nimesoma nina Degree IFM na Diploma CBE unadhani ni kama wewe kilaza. Mi natoa ushauri wa kitaalamu wa mambo ya fedha.
Ainu kubwa sanaa mwanaume kukomaa na mali za wakwe...pambana kivyako ...aibuuuuu kubwaaaaHuyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuri hata kiakili na mipango na elimu kubwa ninayo.
Nikaona nimuwowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie mwanaye pesa kidogo. Naona kimya tu miaka sasa. Mtoto mwenyewe mmoja tu anaye. Sasa na juzi namwambia amshauri baba yake amgawie urithi mapema watu tuyajenge mapema. Kaenda mwambia mzee wake kawa mkali.
Yaani anapewa ushauri wa kitaalamu na sisi wenye uelewa na elimu kubwa anakuwa mbogo. Sijui ana shida gani huyu mzee. Angetumia vizuri elimu yangu angefika mbali sana.
Mpaka leo hajashare pesa yake ya kiiunua mgongo na bintiye. Haya basi mpe nyumba moja ya urithi nayo hataki sasa sijui anataka akae zote yeye ili iweje. Simwelewi kabisa.
Tafuta zako,ili watoto wako waje kurithiHujui mipango ya watu nyamaza we binti. Mambo ya Ngoswe huwezi kujua
Huyo mzee awe makini msije mkamuua bureHuyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuri hata kiakili na mipango na elimu kubwa ninayo.
Nikaona nimuwowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie mwanaye pesa kidogo. Naona kimya tu miaka sasa. Mtoto mwenyewe mmoja tu anaye. Sasa na juzi namwambia amshauri baba yake amgawie urithi mapema watu tuyajenge mapema. Kaenda mwambia mzee wake kawa mkali.
Yaani anapewa ushauri wa kitaalamu na sisi wenye uelewa na elimu kubwa anakuwa mbogo. Sijui ana shida gani huyu mzee. Angetumia vizuri elimu yangu angefika mbali sana.
Mpaka leo hajashare pesa yake ya kiiunua mgongo na bintiye. Haya basi mpe nyumba moja ya urithi nayo hataki sasa sijui anataka akae zote yeye ili iweje. Simwelewi kabisa.
Wewe umemuoa mke wako kwa sababu unampenda au kwa sababu unataka kutumia mali za urithi kutoka kwa baba yake?Huyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuri hata kiakili na mipango na elimu kubwa ninayo.
Nikaona nimuwowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie mwanaye pesa kidogo. Naona kimya tu miaka sasa. Mtoto mwenyewe mmoja tu anaye. Sasa na juzi namwambia amshauri baba yake amgawie urithi mapema watu tuyajenge mapema. Kaenda mwambia mzee wake kawa mkali.
Yaani anapewa ushauri wa kitaalamu na sisi wenye uelewa na elimu kubwa anakuwa mbogo. Sijui ana shida gani huyu mzee. Angetumia vizuri elimu yangu angefika mbali sana.
Mpaka leo hajashare pesa yake ya kiiunua mgongo na bintiye. Haya basi mpe nyumba moja ya urithi nayo hataki sasa sijui anataka akae zote yeye ili iweje. Simwelewi kabisa.
We fala kweli.Huyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuri hata kiakili na mipango na elimu kubwa ninayo.
Nikaona nimuwowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie mwanaye pesa kidogo. Naona kimya tu miaka sasa. Mtoto mwenyewe mmoja tu anaye. Sasa na juzi namwambia amshauri baba yake amgawie urithi mapema watu tuyajenge mapema. Kaenda mwambia mzee wake kawa mkali.
Yaani anapewa ushauri wa kitaalamu na sisi wenye uelewa na elimu kubwa anakuwa mbogo. Sijui ana shida gani huyu mzee. Angetumia vizuri elimu yangu angefika mbali sana.
Mpaka leo hajashare pesa yake ya kiiunua mgongo na bintiye. Haya basi mpe nyumba moja ya urithi nayo hataki sasa sijui anataka akae zote yeye ili iweje. Simwelewi kabisa.
Ushauri wa kitaalamu😳😳Huyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuri hata kiakili na mipango na elimu kubwa ninayo.
Nikaona nimuwowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie mwanaye pesa kidogo. Naona kimya tu miaka sasa. Mtoto mwenyewe mmoja tu anaye. Sasa na juzi namwambia amshauri baba yake amgawie urithi mapema watu tuyajenge mapema. Kaenda mwambia mzee wake kawa mkali.
Yaani anapewa ushauri wa kitaalamu na sisi wenye uelewa na elimu kubwa anakuwa mbogo. Sijui ana shida gani huyu mzee. Angetumia vizuri elimu yangu angefika mbali sana.
Mpaka leo hajashare pesa yake ya kiiunua mgongo na bintiye. Haya basi mpe nyumba moja ya urithi nayo hataki sasa sijui anataka akae zote yeye ili iweje. Simwelewi kabisa.
Pumba tu za kufurahisha kijiwe.Huyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuri hata kiakili na mipango na elimu kubwa ninayo.
Nikaona nimuwowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie mwanaye pesa kidogo. Naona kimya tu miaka sasa. Mtoto mwenyewe mmoja tu anaye. Sasa na juzi namwambia amshauri baba yake amgawie urithi mapema watu tuyajenge mapema. Kaenda mwambia mzee wake kawa mkali.
Yaani anapewa ushauri wa kitaalamu na sisi wenye uelewa na elimu kubwa anakuwa mbogo. Sijui ana shida gani huyu mzee. Angetumia vizuri elimu yangu angefika mbali sana.
Mpaka leo hajashare pesa yake ya kiiunua mgongo na bintiye. Haya basi mpe nyumba moja ya urithi nayo hataki sasa sijui anataka akae zote yeye ili iweje. Simwelewi kabisa.
Mimi Tanga Muheza.unasemaje?acha ubaguzi wa kikabila dogo. Baba yangu amenipa ilimu ndo maana nipo hapa na nataka tumua ilimu kusaidia na wengineBaba ako amekupa nn?
HIyo cv yako haijakusaidia chochote, kam sio wa Tanga wew utakuw njia ya temeke mbagala ndio mkoan kwenu
Nampenda na ndo maana nimemuowaWewe umemuoa mke wako kwa sababu unampenda au kwa sababu unataka kutumia mali za urithi kutoka kwa baba yake?
Sikutegemea ila kama upo kwa nini mke asipewe akafie mbele?tufanye mambo ya msingi maana huyu mzee atakuja kutaka kuja kulelewa hapo baadaye tusije laumiana tu.We fala kweli.
Kumbe umeowa ukitegemea kitonga cha urithi wa mkeo.
Boya we
Akiishiwa au kuzeeka asije kutaka msaada kila mtu atakula alipopeleka mboga.Nimejikuta nacheka mwenyewe hapa,man kwanni unaona Kama hautendewi haki?.japo kwa picha ya baadae akiishiwa mshua atakutegemea kwa namna moja au nyingine.pia labda mshua amesha kuona unajitambia kishule chako,Sasa tumia kishule chako ku-money.
"ukaona umuwowe" duuh!Huyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuri hata kiakili na mipango na elimu kubwa ninayo.