Baba Mkwe simwelewi. Naona kama vile kuna sehemu hayupo sawa. Tusaidiane wajameni

Mimi Tanga Muheza.unasemaje?acha ubaguzi wa kikabila dogo. Baba yangu amenipa ilimu ndo maana nipo hapa na nataka tumua ilimu kusaidia na wengin

Mimi Tanga Muheza.unasemaje?acha ubaguzi wa kikabila dogo. Baba yangu amenipa ilimu ndo maana nipo hapa na nataka tumua ilimu kusaidia na wengine
Tatzo ushanifahamisha, endelea kukomaa
 
Sasa kama unampenda mkeo hizo habari za kutolea macho urithi unazitoa wapi?

Angekuwa hana baba usingemuoa?
Sasa angekuwa hana si angekuwa hana? Mi nazungumzia anaye. Mbona una reason kwa kitu ambacho ni cha kufikirika? Mi na reason kisayansi. KUWA ANAYE BABA. NA MTREAT KAMA MTU ALIYE NA BABA. AKIWA HANA ATAKUWA HANA. PERIOD.
 
Mbona kama unamlazimisha baba ambaye hataki kumpa urithi binti yake ampe huo urithi?

Unataka kumpangia mtu ampe urithi binti yake wakati mwenyewe hataki? Tena kabla hata hajafa?

Tafuta chako, acha kutolea macho vya wenzako kwa kutaka urithi.
 
Nimetafuta changu. Kwani huyu binti mke si wangu? Si ndo changu hicho? Unadhani huyu mzee akizeeka atalelewa na nani?
 
Inaonekana ulimuoa Uyo dada watu kimkakati
 
Nimetafuta changu. Kwani huyu binti mke si wangu? Si ndo changu hicho? Unadhani huyu mzee akizeeka atalelewa na nani?
Hataki kutoa urithi, tafuta mali zako. Mke si mali.

Kwa mwendo huo unaweza kumuua baba mkwe ili upate urithi tu.
 
Unatia aibu we kijana. Pambana uwe na vyako!!!
 
Leo nitawafundisha nini maana ya mshipa wa aibu na jinsi unavyofanya kazi.
Huu ni mshipa wa nadharia uliounganishika na common sense. Umuhimu wa mshipa huu husaidia kutovuka mipaka na kuonekana mtu wa ajabu.

Mshipa huu ukikatika ndio unaona mtu anafanya vitu ambavyo binadamu mwenye uelewa wa kawaida hawezi kuvifanya ikiwepo kutolea macho mali za baba mkwe.
 
We keng%÷¬^ee kwelikweli.. Huko kwa baba yako vipi hakuna mirarhi? Mzee kesha kusoma muda mrefu poyoyo. Eti una elimu kubwa 😭😭😭
 
Kufika mbali kwa elimu yako kubwa ungeanza wewe bila kutegemea pesa na mali za baba mkwe. Yani kama ungeshafika mbali bila shaka angekuita umshauri maana anaona umefika mbali. Sasa wewe upo upo unategemea mali zake utamshauri nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…