Anachotakiwa kufanya ni yeye kukuvunjia mkataba, akivunja mkataba lazima akurudishie gharama zote ulizopotezaKwenye mkataba wake hakuna kifungu kinachokataza aina ya biashara ila mkata unainisha kunga chumba kwa ajiri ya biashara
Yaani mkuu huyo anaongea tu😂.Kama ni hivyo basi hauna sifa ya kuitwa mkataba, lakini nijuavyo mkataba ni makubaliano kukiwa na mashahidi uwe wa maandishi au sauti.
Kwamba mambo yanaenda kienyeji hivyo? PoleHuo mkataba umeuona ?
Mkataba wa mpangaji huwa unabase kwenye malipo tu
Ukizingua unatolewa muda wowote na huna cha kufanya
👏👏👏Endelea na biashara huku ukifungua shauri la fidia
Mkuu kukuongezea fungua na endelea na biashara yako kwa kuzingatia mkataba huo wa awali, maana tayari upo ndani ya mkataba.1. Akurudishie pesa ya matengenezo yako yote uliyafanya ili uhamie pengine.
2. Akurudishie kodi ya nyumba uliyolipa ukaanze pengine.
3. Endelea na msimamo wako kwamba wazo la biashara ni lako huna wajibu wa kumwambia mtu mwingine as long as ni biashara halali kisheria. Ama alitaka umwambie wazo lako yeye akugeuke aanzishe hiyo biashara yeye? Wazo la biashara ni private.
Kama yeye ana ishu za kiimani ama binafsi kuhusu biashara flani yeye ndio alipaswa aweke wazi mapema kwamba biashara flani hazitaki kwenye nyumba yake.
Kwa hiyo kijana umeona ni bora ukimbilie huku kuja kunishitaki?Wanajamvi habari za muda huu, poleni na majukumu ya kutafuta ridhiki. Niende kwenye mada moja kwa moja.
Nimepangisha fremu kwenye NYUMBA moja mjini kwa lengo la kufungua biashara ya pombe Kali yaani liquor store.
Nikaingia mkataba na mwenye nyumba wa miezi kumi wakati huo yeye hajui nataka kufanya biashara gani. Nikanza maandalizi ya kufungua biashara yangu Jana nikaleta mzigo wa pombe Kali ambazo nimefungasha kutoka jijini Dar es salaam.
Baada ya kumaliza kushusha na kuingiza mzigo wangu kwenye fremu yangu nikaondoka nikarudi nyumbani kwangu nikisubiri mzigo mwengine ufike ili niaze kufanya biashara mnamo tarehe moja January 2024.
Cha kushangaza asubuhi ya leo Kama saa kumi na mbili na nusu napokea simu ya baba mwenye nyumba akisema amekaa na familiya na wamekubaliana hawaruhusu biashara ya pombe kwenye nyumba yao nilichoka na kukosa cha kumjibu.
Nikamhoji mbona hukuliweka Hilo kwenye mkataba na kwanini hukusema wakati na kodisha akasema Mimi sikumuambia nataka nifanye biashara gani. Nikamueleza wazo la biashara nilangu ww umekodisha fremu ili Mimi nifanye biashara halali ambayo haivunji Sheria za nchi.
Kama unaitikadi zako kuhusu biashara flani ilikupasa uweke kwenye mkataba ili mimi nikisoma naelewa kwakua siwezi kujua itikadi yako Kama hujasema au kuweka wazi.
Wakuu nachanganyikiwa sielewi nimeshatumia pesa ya kutosha alafu mwenye nyumba anakuja na hoja Kama hii naombeni ushauri wenu wakuu.
🤣🤣🤣Kwa hiyo kijana umeona ni bora ukimbilie huku kuja kunishitaki?
Ww jamaa mbona unachukilia mambo kirahisi rahisi ? Kumbuka hii ni bongo na bongo mambo mengi huwa yanaenda kijanja janja na kujuana kwingi huwezi jua huyo mzee anajiamini nn.Mkuu dronedrake,
Kama mzee atashindwa kumpisha jamaa akafanya kazi. Pesa yote mpaka kwa mwanasheria atailipa yeye.
Kama hataki hayo akae pembeni atulie. Asubiri anmalize mkataba au jamaa afanye busara kuchukua kodi yake aondoke.
Nafkiri hujaelewa pointi tangu mwanzo.Ww jamaa mbona unachukilia mambo kirahisi rahisi ? Kumbuka hii ni bongo na bongo mambo mengi huwa yanaenda kijanja janja na kujuana kwingi huwezi jua huyo mzee anajiamini nn.
Jamaa achukue hela yake ya pango na matengenezo aliyo yafanya asepe kwani nyumba ni hiyo tu?
Mm ninacho kiona hapa ww unataka huyu jamaa hata hako kamtaji aliki nako kaishe kwa shugulikua kesi za madai ya fidia.
"Eti kujuana kwingi". Jamaa asidai haki yake Kwa kumuogopa Mzee! Ile ni biashara.Nafkiri hujaelewa pointi tangu mwanzo.
Nisikilize hapa.
Jamaa atamuuliza mzee kama atarudisha pesa na gharama zote au laaah!
Mzee akigoma anaenda kwa mwanasheria anampeleka mkataba walioingia, pale inafatwa sheria tu hakuna maneno ya kusema mimi sitaki tunataka mkataba unasema nini.
Itaandikwa statement kutoka kwa advocate akiombwa arudishe gharama zote pamoja na za mwanasheria ataziambatanisha atapelekewa.
sasa hapo ni yeye mzee aamue kuongea na jamaa wayamalize na hata wakiyamaliza atapaswa kulipa pesa ya mwanasheria sababu kamuingiza gharama zingine.
Na akiamua kutumia nguvu huyo mzee kutoa vitu, hiyo ni kesi nyingine.
Mimi nishakutana na hicho Kisanga. Acha kutisha watu, hatuwezi kuendekeza wazee wapumbavu watu wanapoteza muda na pesa.
Huyo pesa analipa yote. Hataki usumbufu akae pembeni watu wauze pombe.
Mpeleke mahakamani akulipe fidia (hahaha yaani atalipia na hizo pombe kali maana atakuwa kazinunua hahaha) ni mjinga. Wewe endelea na kufungua biashara akuvunjie au aoneshe kitu chochote cha kisheria. Pia hakikisha una lesena ya halmashauri na vielelezo vingine, ukienda mahakamani hiyo gharama unaweza imiliki hiyo nyumbaWanajamvi habari za muda huu, poleni na majukumu ya kutafuta ridhiki. Niende kwenye mada moja kwa moja.
Nimepangisha fremu kwenye NYUMBA moja mjini kwa lengo la kufungua biashara ya pombe Kali yaani liquor store.
Nikaingia mkataba na mwenye nyumba wa miezi kumi wakati huo yeye hajui nataka kufanya biashara gani. Nikanza maandalizi ya kufungua biashara yangu Jana nikaleta mzigo wa pombe Kali ambazo nimefungasha kutoka jijini Dar es salaam.
Baada ya kumaliza kushusha na kuingiza mzigo wangu kwenye fremu yangu nikaondoka nikarudi nyumbani kwangu nikisubiri mzigo mwengine ufike ili niaze kufanya biashara mnamo tarehe moja January 2024.
Cha kushangaza asubuhi ya leo Kama saa kumi na mbili na nusu napokea simu ya baba mwenye nyumba akisema amekaa na familiya na wamekubaliana hawaruhusu biashara ya pombe kwenye nyumba yao nilichoka na kukosa cha kumjibu.
Nikamhoji mbona hukuliweka Hilo kwenye mkataba na kwanini hukusema wakati na kodisha akasema Mimi sikumuambia nataka nifanye biashara gani. Nikamueleza wazo la biashara nilangu ww umekodisha fremu ili Mimi nifanye biashara halali ambayo haivunji Sheria za nchi.
Kama unaitikadi zako kuhusu biashara flani ilikupasa uweke kwenye mkataba ili mimi nikisoma naelewa kwakua siwezi kujua itikadi yako Kama hujasema au kuweka wazi.
Wakuu nachanganyikiwa sielewi nimeshatumia pesa ya kutosha alafu mwenye nyumba anakuja na hoja Kama hii naombeni ushauri wenu wakuu.
Kama kwenye mkataba hakuna sehemu inayosema biashara ya pombe haitakiwi, huyo mzee atalipa."Eti kujuana kwingi". Jamaa asidai haki yake Kwa kumuogopa Mzee! Ile ni biashara.
Yaani ni kesi nzuri sana, jamaa awe procative sana yaani aende afungue tena mapema kabisa na asiogope. Hiyo ni neema Mungu kamletea ya kupiga hela kupitia ujinga wa huyo mzeeNafkiri hujaelewa pointi tangu mwanzo.
Nisikilize hapa.
Jamaa atamuuliza mzee kama atarudisha pesa na gharama zote au laaah!
Mzee akigoma anaenda kwa mwanasheria anampeleka mkataba walioingia, pale inafatwa sheria tu hakuna maneno ya kusema mimi sitaki tunataka mkataba unasema nini.
Itaandikwa statement kutoka kwa advocate akiombwa arudishe gharama zote pamoja na za mwanasheria ataziambatanisha atapelekewa.
sasa hapo ni yeye mzee aamue kuongea na jamaa wayamalize na hata wakiyamaliza atapaswa kulipa pesa ya mwanasheria sababu kamuingiza gharama zingine.
Na akiamua kutumia nguvu huyo mzee kutoa vitu, hiyo ni kesi nyingine.
Mimi nishakutana na hicho Kisanga. Acha kutisha watu, hatuwezi kuendekeza wazee wapumbavu watu wanapoteza muda na pesa.
Huyo pesa analipa yote. Hataki usumbufu akae pembeni watu wauze pombe.
Tena nzuri sana.Yaani ni kesi nzuri sana, jamaa awe procative sana yaani aende afungue tena mapema kabisa na asiogope. Hiyo ni neema Mungu kamletea ya kupiga hela kupitia ujinga wa huyo mzee