Baba mwenye nyumba hataki nifanye biashara ya pombe kali

Tena nzuri sana.

Akijaribu kujifanya mbishi sheria itambana mahakamani atatoa fidia kubwa na gharama zote.
Unaambiwa hata nyumba anaweza uza, tena jamaa kama mjanja afoji mpaka risiti ziwe na gharama kubwa za manunuzi ili akishindwa mahakama iamrishe auze nyumba
 
Mara nyingine wazo la biashara ni siri ya mtu. Unaweza mwambia mwenye fremu kesho ukakuta ameweka yeye hiyo biashara. So ukifanya sawa tuu kutomuambia.

Tumezoea hata kwenye majumba ya kupanga mwenye nyumba ndio atakupa masherti yake mfano marufuku kuleta mwanamke inhaling yeye ana mabinti wakubwa au usipike kitimoto nk.

Kisheria Huna kosa. Kuwa nunda piga bizness au akulipe fidia utafute pengine, japo location matters
 
Hawa wenye nyumba mara nyingi wanakuwaga na akili za kipuuzi sana. Huwa hawajui ya kwamba

Nyumba ni Mali yako ila Sheria za Upangishaji wa Nyumba ni za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
Kisheria Huna kosa. Kuwa nunda piga bizness au akulipe fidia utafute pengine, japo location matters
Location matters.hilo muhimu sana.

Mkuu TAIDUME,
Nishawahi kutana na hiki kisanga, watoto wa bibi wakaanza kuleta dharau sikuongea sana.

Walivyoona statment kutoka kwa mwanasheria na muhuri juu na zile gharama nilizoambatanisha tena nikaongeza za kwangu, bibi kaja anatetemeka.

Hao wazee wahivyo wanakosa watu wazuri wakuwashauri.
 
Yaani mkuu huyo anaongea tu[emoji23].

Mtu kalipa kodi almost6 month, kafanya matengenezo makubwa Halafu unaniambia mimi siruhusu kuuza pombe?

Na hakuna sehemu kwenye mkataba unasema hivyo?

Yaani angelipa kila kitu.
Baba kasema alipi, nayeye anataka kuuza pombe
 
Unaambiwa hata nyumba anaweza uza, tena jamaa kama mjanja afoji mpaka risiti ziwe na gharama kubwa za manunuzi ili akishindwa mahakama iamrishe auze nyumba
Hii michezo usije ukalifanyia kabila hili👇

Wachaga yaani utaamini
 
Hakuna sehemu yeyote niliyo mtisha ila nimemkumbusha hali halisi ya nchi yetu, kwani haki ngapi za watu zinazurumiwa na hao wanasheria wamejaa mitaani?

Yeye kama mzee anakubali kukurudishia hela ya pango sioni haja ya kukuza mambo masuala ya muda ahesabu tu kama hasara tu kwenye biashara.
Akifanya hivyo ni kwa faida yake,vizee vingine ni vichawi unaweza jifanya kushindana nao ikakutokea puani.


Bongo hii ukikuza mambo ndo unakuza furusa za watu kupiga hela Ohoo shauri yenu.
 
Tena asipokaa vzuri mpaka fremu itauzwa alipe pesa!
 
Mimi baba mwenye nyumba niko nafuatilia tu mjadala wenu huu! Naona kama mnampotosha huyu kijana mwenzenu, nimeshasema nyumba yangu hawezi kufanyia biashara ya Pombe kali full stop! Yeye mwenyewe amekuja ananiambia anataka kufanya biashara ya duka! Hivi unafikri akianza mambo ya kesi itaisha leo? Atapoteza muda wake bure, bora aje tuongee kindugu tuyamalize!
 
Mahakama ni mipumbavu sana tangu watoe hukumu ya kupindisha haki kwenye kiwanja chenye hati sina imani nao kabisa! Hawa jamaa wanataka kumpotezea muda tu huyu kijana!
 
Mtafutie gape huko uchochoroni mkate hata kifundo cha mguu awe kilema wapuuzi kama hao si wa kuvumilia hata kidogo
 
Tena asipokaa vzuri mpaka fremu itauzwa alipe pesa!
Mkuu mm naongelea uhalisia ww unaongelea mambo ya nadharia hapa.
Alafu kesi za kudai fidia sio rahisi kiasi hicho kama unavyo jaribu kutuaminisha.
Huyo mzee kama ni mtu mwenye pesa kumzidi huyo jamaa hakuna kitu atamfanya na kuhama atahama tu.

Ndio maana nikasema asikuze mambo arudushiwe gharama zake za pango na garama alizo tumia kufanya marekebisho ndani ya nyumba ,hayo ya sijui fidia za muda sijui nauli ya vinywaji mwamba haachane nayo ahesabu hasara maisha yaendelee hasa ukizingatia hata biashara hajaanza kufanya.

Hata sisi ni wafanya biashara usumbufu kama huo ni kitu cha kawaida kwenye biashara achukulie kawaida tu.
 
Kamshtaki kwa utapeli na kukusababishia hasara
 
Wewe endelea kutetea wazee wapumbavu.

Wewe unaongelea nadharia hujui uchungu wa kuanzisha biashara Halafu mzee mjinga tu akuambie mimi siruhusu.

Kama unataka kujua hili andika mkataba kama wa huyo mzee Halafu mpangishe mtu mwambie hayo anayosema huyo mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…