Baba mzazi adaiwa kumlawiti mwanaye wa miezi 6 mpaka kifo

Ameifanya dunia kuwa sehemu mbaya kuishi....japo kwa wenye HEKIMA ni sehemu nzuri haswa....

#Watu na viatu
 
Kwa mwingine ambae ana mawazo kama haya ni Bora anipe mm malaika wa Mungu huyo nimlee Kwa kadri nitakavyo barikiwa na Mungu
Sitamani kuwaza maumivu aliyopitia huyo mtoto kabla ya umauti.. huyo Shetani atafutwe
 
Inaweza kuwa sababu ni Imani za kishirikina. Kuna mganga kamdanganya atapata utajiri
 
Hii taarifa inaonekana kuwa na ukakasi.
Haioneshi lini tukio limetokea,kivipi,kwa wakati gani na wapi?
Na mama wa mtoto alikua wapi kipindi baba wa mtoto anatenda tukio na kumbeba mtoto kumpeleka kwa bibi yake?
Na wamejuaje kama baba wa mtoto ndio kamlawiti mwanae?
Na wamejuaje kama amekufa kwa kulawitiwa!??

Hii kesi ina ukakasi mkubwa,inahitajika uchunguzi mkubwa.
Isije ikawa ugomvi wa familia mtu anaangushiwa jumba bovu.
 
Tayari siku imeshaharika ...hivi wapuuzi kama hawa tunawapa adhabu gani
 
Kanda ya Ziwa ni hatari sana!
 
Hivi kama ndio inatokea kuwa huyo Baba kazushiwa,hao waliomzushia huwa wanachukuliwa hatua gani ili iwe fundisho kwa wengine...
 
Hilo si suala la wanaume. Ni suala lake yeye mhalifu.

Kamwe sijawahi kufikiria kumfanyia mtoto mchanga kitu kama hicho!

He should hold his own nuts.

Real men don’t abuse children.
Taarifa ya jana kinondoni Kuna baba alikuwa a nambaka mwanae wa kumzaa wa darasa la tano,tangu mwaka huu uanze mwenye umri wa miaka kumi na Moja, mbona hatusikii wakina mama wakibaka watoto wao?
 
Mambo mengine tunamlaumu bure shetani ,lkn kiuhalisia mate ndo tunayafanya wenyewe kwa utimamu wetu wenyewe.God have mercy on us..
 
Curse...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…