Baba mzazi hataki binti yake aolewe

Mwambieni huyo sista alengeshe mimba
 
Ok umeenda serikalini,
Ila kumbuka Muanzilishi wa Ndoa Ni MUNGU.
Mambo ya imani weka pembeni; chakula cha mungu ni sala, na cha binadamu ni sadaka; ndoa ni makubaliano ya watu wawili, mke na mume, na si wazazi. Tunashirikisha wazazi ili pale majanga ya kifamilia yakitokea, kuwepo na utulivu. Mfano binti kufariki n.k
 
chinician, post: 43216708, member: 668907"]
Ninavyofahamu Mimi mkuu Baba wa binti akiwepo hai ndie anayetoa kibali kwamba mwanae ndo aoelewe. Na yeye ndio anayeoza, Kama kashafariki anachaguliwa mtoto wa kiume katika familia, mbali na hapo mnaenda kwa Baba mkubwa au Mdogo.
Sasa hao wanaofunga ndoa bila upande mmoja kutokuwepo , sijui wao maana ya kuoa wanaielewaje.
[/QUOTE]
Wamekosea na ndoa hiyo ni batili kwa mujibu wa sheria
Sheria ipi? Kwa DC wanafuata sheria pia.
 
Sheria ipi? Kwa DC wanafuata sheria pia.[/QUOTE]Download Sheri af usome
 
Sheria ipi? Kwa DC wanafuata sheria pia.[/QUOTE]Kusiwe na Pingamizi: Kabla ya ndoa kufungwa ni lazima tangazo litolewe juu ya kusudio la kufunga ndoa, na ndoa hiyo haitafungwa iwapo kutakuwa na pingamizi halali kutoka kwa mtu mwenye haki ya kufanya hivyo

Ambapo pingamizi inamuhusisha mzazi Kama hajalizia ndoa kufungwa hiyo na awe na Sababu zenye mashiko lakini pia pingamizi haijamzuia mtu yeyote yule kupinga ndoa hiyo
 
..Anamla Binti Yake huyo....
 
Sheria ipi? Kwa DC wanafuata sheria pia.
Kusiwe na Pingamizi: Kabla ya ndoa kufungwa ni lazima tangazo litolewe juu ya kusudio la kufunga ndoa, na ndoa hiyo haitafungwa iwapo kutakuwa na pingamizi halali kutoka kwa mtu mwenye haki ya kufanya hivyo

Ambapo pingamizi inamuhusisha mzazi Kama hajalizia ndoa kufungwa hiyo na awe na Sababu zenye mashiko lakini pia pingamizi haijamzuia mtu yeyote yule kupinga ndoa hiyo
[/QUOTE]
Ahaa kumbe pingamizi ni mtu yeyote Yule iwapo pingamizi hilo Lina MASHIKO!
 
mwachiluwi kumbe pingamizi ni mtu yeyote sio mzazi tu muhimu pingamizi liwe na MASHIKO.
 
Ahaa kumbe pingamizi ni mtu yeyote Yule iwapo pingamizi hilo Lina MASHIKO![/QUOTE]Ndio labda Dada anaeolewa alikuwa mkeo na hujampa taraka au kaka anae funga ndoa ana ndoa nyingine na hajatoa talaka
 
Ahaa kumbe pingamizi ni mtu yeyote Yule iwapo pingamizi hilo Lina MASHIKO!
Ndio labda Dada anaeolewa alikuwa mkeo na hujampa taraka au kaka anae funga ndoa ana ndoa nyingine na hajatoa talaka
[/QUOTE


MKUU MIMI SWALI LANGU BADO NI LILE LILE BINTI ANAWEZA KUOZWA PINDI BABA MZAZI AJAKUBALI NA YUPO HAI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…