Baba mzazi hataki binti yake aolewe

Na ndivyo ilivyo usizae kabla ya ndoa.
 
Mzee inawezekana akawa anatamani au tayari anammega binti yake. Zaidi ya hapo huenda kukawa na sababu za kimila/kishirikina maana sio kawaida. Cha msingi hapo mzee aulizwe sababu ni nini
 
Katika kanisa ninalosali kuna Baba mzazi mmoja Ana binti yake wa kwanza, japo mama wa binti huyo alifaliki baada ya kumzaa binti huyo. Baba akaoa mwanamke mwingine.
Mimi mwenyewe nina mwanangu ndo ana mwaka mmoja, nampenda mpaka najihurumia, naye ananipenda hadi namhurumia. Atakayemwondoa kwangu atapata shida sana, either aje aishi na mm kwangu ama anichukue nikaishi na mwanangu. La sivyo haolewi nitamwambia azae nitalea wajukuu zanfu na yye pia
 
huyo kiboko yake BILNASS.
mama nandy nae alikuwa anazingua zingua.ghafla mtoto kajaa kitumbo.
 
To humu kwa manufaa ya wengine pia
Ingawa humu kejeli zimezidi lakini naweza kutoa maoni yangu.
Suala la ndoa ni makubaliano ya hiyari ya watu wawili wa jinsia tofauti,suala la wazazi ni kuiheshimiana na kudumisha mila na destri zetu Waafrika

Baba kukataa binti yake asiolewe anafanya kosa la kuingilia uhuru na faragha ya bintiye kisheria. Kama mzee hana sababu yenye mashiko kuhusu zuio lake la kutopokea mahari, anakuwa anakosea sana.

Watafutwe ndugu wa baba na wajomba waweze kuketi na kufanya maamuzi.

Maelezo ni marefu lakini niishie hapa kwanza
 
Nakumbuka hadi naleo baba yangu alimkataa shemeji yetu kisa sio mzuri tukabisha wakaoana wewe basi tulipatiwa moja hiyo waleo tumekama
 
Ni binti au ni wewe? Weka mambo hadharani usijifiche fiche. Okei, tatizo hapo ni kwamba uyo mzee ana mapepo.
 
Nakumbuka hadi naleo baba yangu alimkataa shemeji yetu kisa sio mzuri tukabisha wakaoana wewe basi tulipatiwa moja hiyo waleo tumekama
Huyo shemiji alikuwa mwanaume au mwanamke?.
Na wamefikia wapi Hadi leo?
 
Mkuu nimekuelewa Sana inamaana kumuoa binti Ni Lazima upate kibali kwa Baba mzazi au sio.
 
Binti akiolewa yani anaondoka kwenye familia yao , na inawezekana akaamua MWENYEWE hata kubadilisha jina la Baba yake mzazi la mwisho na kuweka Jina la upande wa mwanaume, na ndio maana tuna msendoff (sendoff).
Anakuwa sio wa familia hio, na ndomaana tuomba ridhaa kwa Baba mzazi Kama yupo hai kwa kupeleka posa.
Kwa kuwa Baba watoto yupo anaweza kataa au kukubali ombi.
Ana akiolewa hata kaburi lake litakuwa upande wa mwanaume na sio kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…