Baba mzazi hataki binti yake aolewe

Baba mzazi hataki binti yake aolewe

Aache ulokole wake, abebe mimba ajisogeze kwa mchumba waishi wote...wahame kanisa wafunge ndoa.
Baba mshirikina huyo
Huyu anatakiwa akatoe tarifa kwa baba akiwa na mimba ya miezi sita kmmmk
 
Huyu anatakiwa akatoe tarifa kwa baba akiwa na mimba ya miezi sita kmmmk
🤣🤣 tatizo la mlokole hatafanya hivyo, atamtii baba akifikisha 50 ndo akili inamjia while its too late
 
Sheria ya ndoa imebainisha kuwa vitu vitakavyo fanya ndoa isifungwe ni pamoja na wazazi au mzazi Kama hajalizia ndoa iyo kufungwa kwaio ili ndoa ifungwe ni lazima wazazi warizie kufungwa kwaio ndoa
Kama ndoa ni ya binti mwenye umri wa miaka 14_17.

18 and above ni mtu mzima, hahitaji ridhaa ya wazazi.
 
Ninavyofahamu Mimi mkuu Baba wa binti akiwepo hai ndie anayetoa kibali kwamba mwanae ndo aoelewe. Na yeye ndio anayeoza, Kama kashafariki anachaguliwa mtoto wa kiume katika familia, mbali na hapo mnaenda kwa Baba mkubwa au Mdogo.
Sasa hao wanaofunga ndoa bila upande mmoja kutokuwepo , sijui wao maana ya kuoa wanaielewaje.
Hii ni mila tu, sheria inasema ni ridhaa binafsi.
 
Ahahahahahahaaa wana imani ya Sara wa kwenye bible..!!
Na wakae hivyo hivyo shauri lao.
Nina mfano mmoja hapa home ni mdada kafikisha 50 i guess, yupo home na bado ana mawazo kuwa Mungu atamuonyesha mume wake atakuja kuolewa, na anapinga kuzaa kabla ya ndoa au kuhama home kujitegemea kwasababu ni tabia mbaya.
Imagine mlokole wa bush hajui kuvaa hana swaga za kushawishi, shape nayo ya kawaida kama ya mjomba, umri umeenda ukute hata menepause tayari mwanaume gani atakutaka kirahisi?
Labda apate mlokole mwenzake aliyefiwa na mume au awe na pesa avute kaserengeti boy
 
We Demi wewe..!! Embu muonee huruma mwenzio..!! Sema wanakuwa na nyodo hao wakiwa kwenye umri muafaka..!!
 
We Demi wewe..!! Embu muonee huruma mwenzio..!! Sema wanakuwa na nyodo hao wakiwa kwenye umri muafaka..!!
Huruma namuonea maana huko mbeleni atajuta, bora aondoe mawazo ya kuolewa. Nasubiri nishuhudie muujiza siku akiolewa ntakwambia🤣
 
Back
Top Bottom