Baba mzazi hataki binti yake aolewe

Baba mzazi hataki binti yake aolewe

Iyo ndoa haitakuwa na maana kwa Sababu Kama wazazi wapo why usiwape tararifa means their don't have right to know or to participate or?
Mkuu Mimi MWENYEWE najiuliza Sasa Kama haina maana , kungekuwa Hakuna haja ya kupeleka posa kwao. Na kutuma watu wakakutane na mzee wa binti. Ingekuwa HIVYO binti angesema tuuwenyewe home kwamba naolewa tarehe flani Basi.
 
Baba anatafuna binti. Hii tabia kuna kabila wanapenda Sana kula mayai
 
😀😀😀

Taarifa haifanyi ndoa isiwe ya maana, mambo yanayovunja ndoa ndio mambo hatohayo yanayoweza kufanya ndoa isifungwe.
Sasa nenda kwenye Sheria uangalie nu mambo gani yanayoweza kufanya ndoa ikavunjwa uone Kama Wazazi wapo?
Mkuu naomba tuwe specific , Kuna Seria za serikali na za dini tofauti( uislama na ukisto)
 
Huyo binti atazeekea nyumbani akisubiria ruhusa ya baba primitives. Akipata mtu ajiozeshe
 
Wewe utakuwa hauelewi mambo ya ndoa, kuna vigezo ambavyo vinafanya ndoa ifungwe, ikubalike, vigezo hivyo vikivunjwa ndoa haipo, na Kama ndoa ilifungwa basi inaweza kuvunjwa tuu.

Wazazi hawapo kwenye hivyo VIGEZO aidha vya kuifanya ndoa ifungwe au isifungwe au Talaka.
Ndoa ni ishu ya watu wawili Sheikhe, na watakaoulizwa ni watu wawili sio wazazi😂
Mkuu Basi ata posa Unaweza usimwambie Baba yako kwamba akusaidie kupeleka mkuu, hata kama yupo hai.
 
Imeandikwa utaachana na wazazi na utaambatana na umpendae kwa Nia ya kuanzisha familia yenu. Baba hawezi kuzuia , binti nakushauri olewa, baba ataelewa baadae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchumba ampe ujauzito muone huyo baba kama atakoroma na kufanya ujinga tena.
 
Imeandikwa utaachana na wazazi na utaambatana na umpendae kwa Nia ya kuanzisha familia yenu. Baba hawezi kuzuia , binti nakushauri olewa, baba ataelewa baadae.

Sent using Jamii Forums mobile app
Fungu gani mkuu naomba unionyeshe coz Mimi nalijua tuu " mwanaume ataachana na Baba na mama yake nae ataambana na mkewe nao watakua mwili mmoja" ila sijaona lililo andikwa mwanamke ataachana na wazazi au utawaacha wazazi utaambatana na umpendae.
Naomba utusaidie Ni fungu gani mkuu??
 
Back
Top Bottom