Baba mzazi wa Askari Polisi anayedaiwa kujinyonga Mtwara adai kutoridhishwa na taarifa ya mwanae kujiua

Baba mzazi wa Askari Polisi anayedaiwa kujinyonga Mtwara adai kutoridhishwa na taarifa ya mwanae kujiua

Huyo kauliwa na mapolisi ili wamsingizie kesi, uhuni umerudi tena serikalini mama anaangaika na mambo ya kipumbaavu ya machifu na kuvaa ngozi, wakati nchini mambo yanaharibika.[emoji848]
Husoma mafaili akisikiliza taalabu, unategemea nini hapo?
 
Uliyechangia kwamba SAAD(kwenye Kesi ya Zombe)alifariki kabla ya Hukumu ndio ikasahabisha Zombe apone uache UONGO,Koplo Saad hakuwahi kupatikana mpaka leo alikimbia,na ndie aliyefyatua Risasi kuwaua wale Wafanyabiashara,ACHA uongo Bro
 
Baba roho inauma mwanae kauwawa ila haoni kuwa mwanae nae aliua, mzee damu mwanae aliemwaga huwa haichelewi, huwa inaenda na mhusika.
 
29 January 2022

Kijiji cha Luponda, Nachingwea
Tanzania

MAMA WA MUUZA MADINI ALIYEULIWA AIBUA MAPYA, "ASKARI ALIYEFICHUA AFIA KITUONI"


Habari za kiuchunguzi, wafika kijijini Luponda na kuongea na mama wa marehemu muuza madini aliyepoteza maisha akifuatilia haki yake. Mama afunguka sakata zime linavyochukuliwa na Jeshi la Polisi kufuatia kijana Musa kupotea mara baada ya kuingia ndani ya ....
Source : Millard Ayo
 
Baba mzazi ana mashaka na kifo cha mwanae, anasema mwanae ameuwawa kwa kuwa mwanae alisimamia ukweli kuwa alitumwa na wakubwa wake kufanya mauaji ya mfanyabiashara.

Baba mzazi anamuomba IGP Sirro kuunda tume kuchunguza kifo hiko. Anasema haiwezekani sero ya polisi kuwe na tambala
Hata kama alitumwa, hakutakiwa kuua.

Na hukumu ya muuaji ni kifo cha kitanzi, sasa wamewahi mapema.
 
Back
Top Bottom