ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,073
Husoma mafaili akisikiliza taalabu, unategemea nini hapo?Huyo kauliwa na mapolisi ili wamsingizie kesi, uhuni umerudi tena serikalini mama anaangaika na mambo ya kipumbaavu ya machifu na kuvaa ngozi, wakati nchini mambo yanaharibika.[emoji848]
Kesi ya ngedere kala mahindi, hakimu tumbili!Yaani anaomba anayemtuhumu kuwa alimtuma kuua, kuunda kamati ya uchunguzi?!
Wawajibishwe na nani mkuu?Polisi waliomnyonga huyu jamaa wawajibishwe, hata kama ni wakubwa, hatuwezi kuishi namna hii
Unatumwa ukaue then unajua nawe utauwawa kuficha siri.
Kosa la jiwe ni kutowauwa aliowatuma kuuwa watu leo tumewajua wasiojulikana mahakamani.
[emoji23]Tutolee upumbavu wako.
Huyo mtu wa juu ni yupi?Amini nawaambia kama Grayson asingekuwa na undugu na mtu wa juu serikalini, haya yote tusingeyajua.
Yangeisha juu kwa juu.
Hii nchi ni ya ajabu sana.
Hata kama alitumwa, hakutakiwa kuua.Baba mzazi ana mashaka na kifo cha mwanae, anasema mwanae ameuwawa kwa kuwa mwanae alisimamia ukweli kuwa alitumwa na wakubwa wake kufanya mauaji ya mfanyabiashara.
Baba mzazi anamuomba IGP Sirro kuunda tume kuchunguza kifo hiko. Anasema haiwezekani sero ya polisi kuwe na tambala