Baba mzazi wa Askari Polisi anayedaiwa kujinyonga Mtwara adai kutoridhishwa na taarifa ya mwanae kujiua

Baba mzazi wa Askari Polisi anayedaiwa kujinyonga Mtwara adai kutoridhishwa na taarifa ya mwanae kujiua

Huyo kauliwa na mapolisi ili wamsingizie kesi, uhuni umerudi tena serikalini mama anaangaika na mambo ya kipumbaavu ya machifu na kuvaa ngozi, wakati nchini mambo yanaharibika.[emoji848]
Uhuni ulikuwepo hata awamu iliyopita tena pengine mkubwa ila haukupewa nafasi ya kutangazwa au kuchukuliwa hatua.
 
Criminal law principle: kwenye kesi za accessories/accomplices: mtenda kosa mkuu yaani mshitakiwa mkuu asipopatikana na hatia kwa sababu iwayo yeyote, wale watuhumiwa wengine wanakuwa hawana hatia kwa sababu ikiwa mashtaka ni kula njama na kuua, halafu mtendaji mkuu hajapatikana na hatia ya kuua, basi haiwezekani uwakute washiriki na hatia ya kosa ambalo halijathibiyishwa.

Rejea kesi ya akina Zombe. Saadi ambaye alifyatua risasi alifariki kabla ya hukumu. Na zombe akaponea hapo maana mshirika wake hakupatikana na hatia
Ila watu wa kusini unawajua ni lzm watanyooka nao kimila,kwani zombi yupo sawa?
 
"Hakuna picha inayoonesha marehemu alijinyonga au ananing'inia, ukweli wake ndio uliomponza, marehemu alisema kwanini nihangaishwe wakati mimi nilitumwa? wakubwa wenyewe wapo, mimi nilikuwa ni mtekelezaj...
Haki ipatikane , huwezi kufanya mauaji ili kuficha mauaji, utaua wangapi?! Ukweli ndio utawaweka huru, semeni ukweli, nani kamuua huyo askari na huyo mfanyabiashara??!!
 
Criminal law principle: kwenye kesi za accessories/accomplices: mtenda kosa mkuu yaani mshitakiwa mkuu asipopatikana na hatia kwa sababu iwayo yeyote, wale watuhumiwa wengine wanakuwa hawana hatia kwa sababu ikiwa mashtaka ni kula njama na kuua, halafu mtendaji mkuu hajapatikana na hatia ya kuua, basi haiwezekani uwakute washiriki na hatia ya kosa ambalo halijathibiyishwa.

Rejea kesi ya akina Zombe. Saadi ambaye alifyatua risasi alifariki kabla ya hukumu. Na zombe akaponea hapo maana mshirika wake hakupatikana na hatia
Ila watu wa kusini unawajua ni lzm watanyooka nao kimila,kwani zombi yupo sawa?
 
Baba anakiri mwanae alimuua kijana Musa asiye na hatia, naye anaomba huruma ya wananchi, kama kweli Baba mzazi anakili mwanae aliua, hata angebaki Hai si Bado hukumu yake ingekua kunyongwa hadi kufa....
Hivi amekiri kwamba mwanae kaua au amekiri kwamba mwanae alitumwa kwenda kukamata pesa?
 
Askari7 wako mahabusu,siku ya pili mmoja akajinyonga na tambala
1.Polisi Mtwara wanazo mahabusu nyingi kila askari alifungiwa chumba chake...
Aisee hawa watu hata hawajui jinsi ya kudanganya, polisi gani wanashindwa hata kuandaa sinema watu wakaielewa, wanakuwa kama bongo movies ambapo jini anaangalia kushoto na kulia kabla hajavuka barabara
 
D
Ila hatia,laana,kuwindwa na ndugu kimwili na kiroho shughuli unabakia nayo wewe muuaji. Waliokutuma wanachoma nyama. Hapa ni za kuambiwa
Damu ya mtu nzito sana mkuu,
Hii kauli ni kama msemo wa wahenga,
Ila ni kweli kbsa wengi wa wauwaji mwisho wao unakuaga mbaya sana,
 
Kwann asiripoti kwa wakubwa zaidi.
ukiua jambazi,mwizi mchawi hakuna laana yeyote itakayokupata hata ukoo wake wote wadhikiri uchi na sio raia asohatia tena kwa dhuluma.
Damu ya mchawi, mwizi jambazi hazina password huwezi laanika ukizimwaga.
Mkuu huko kwenye majeshi ni hakuna kugoma,

Ukipewa task na ukakata wewe ndo unakua task,

Kitendo cha kuambiwa tu teyari upo kwenye hatari ukikata,

Na hata ukifanya yakitokea yakutokea wanakutoa kafara mtendaji,
 
So yakikupata ni lako sio la Mkubwa wako so unakubali kuwa sadaka kwa manufaa binafsi ya wengine.
So unakubali kukiuka taratibu Ili boss afurahi.
 
So yakikupata ni lako sio la Mkubwa wako so unakubali kuwa sadaka kwa manufaa binafsi ya wengine.
So unakubali kukiuka taratibu Ili boss afurahi.
Mkuu huko kwenye majeshi sio nbc bank 😁 au shirika flani la umma,

Huko ni order tu huo muda wa ku file case uta file upo kaburini,

Hizo kazi sio kabisa,

Ni bora ukauza pilipili zako brbrn
 
Huyo kauliwa na mapolisi ili wamsingizie kesi, uhuni umerudi tena serikalini mama anaangaika na mambo ya kipumbaavu ya machifu na kuvaa ngozi, wakati nchini mambo yanaharibika.[emoji848]
Tulia wewe msukuma,unataka kutuaminisha mambo haya hayakuwepo wakati magufuli??

Yalikuwepo tena makubwa zaidi ya haya ila tu yalikua hayasemwi tofauti ni kwamba sasa kuna angalau uwanja wa kuzungumza
 
FB_IMG_1643433139098.jpg
 
Back
Top Bottom