Baba mzazi wa marehemu Milembe Suleman aongea mazito

Baba mzazi wa marehemu Milembe Suleman aongea mazito

Shenzi kabisa na haya ni mawazo ya kishetani na kichawi usijifanye msomi vyeti ukadharau wazazi nguruwe wewe ht maandiko ktk amri 10 yamezungumza khs wazazi mpuuz wewe huna akili bila Mungu wewe ni bichwa maji na wakala wa pepo

Nimekuelewa mkuu
Watu wanalazimisha kuhalalisha haramu. Mungu atunusuru
 
Mungu simama nasi, lea nasi baba, tunusuru na hili janga sisi na vizazi vyetu🙏

View attachment 2603929

Viatu vya huyu baba havinitoshi
===
Marehemu Milembe Suleiman ambaye miaka kadhaa iliyopita alitrend mitandaoni kwa kumvisha pete mwanamke mwenzake ikiashiria anajihusisha na vitendo vya kisagaji, baba yake amezungumza kuhusu tukuio hilo.

Baba huyo amesema baada ya kuona video hiyo walimpinga vikali na kumuasa kuacha mienendo hiyo. Watu wa familia yake ikiwemo wanaye wote walimuona Milembe kuwa ni mtu aliyekengeuka.

Milembe Suleimani aliuawa na kukatwa viungo vyake.

Pia soma TANZIA - Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa
Mungu atunusuru na vizazi vyetu.
 
Back
Top Bottom