Baba mzazi wa marehemu Milembe Suleman aongea mazito

Baba mzazi wa marehemu Milembe Suleman aongea mazito

Bwana Mungu asema hivi

Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na Bwana, Mungu wako.

simpoo!! Kwa wale vichwa ngumu, Mungu anamanisha kua, Usipowaheshim Wazazi wako ( Baba na Mama), Utakufa tu mapemaa, tukuzike, yaan utakufa mapeeeeeeeema ,sisi tule ubwabwa.🤣🤣
 
Hawajafungwa kwa kufungiwa wamefugwa kwa kuachiwa huru....mbona bado wamechagua maisha yao,,
sasa binadamu hafugwi anapewa malezi ,wanyama ndio hufugwa hata wakifanya ufirauni hakuna wa kujali kikubwa wafike kilo za kuchinjwa japo wanyama wenyewe wamekataa ushoga mbali ya kuwa wanafugwa
 
sasa binadamu hafugwi anapewa malezi ,wanyama ndio hufugwa hata wakifanya ufirauni hakuna wa kujali kikubwa wafike kilo za kuchinjwa japo wanyama wenyewe wamekataa ushoga mbali ya kuwa wanafugwa
Ndo waliishi na wazazi wote sasa mkuu..wawe hawakufugwa au walifugwa
 
Attachments

  • u.jpg
    u.jpg
    14.2 KB · Views: 9
Back
Top Bottom