scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,719
Haya mambo ya malezi ni kumuomba Mungu,japo mzazi inabidi uplay part yako ili usije kujilaumuKuna MTU Leo kasema watoto wanaolelewa na singlemoms ndo huishia kuishia kuwa mashoga na wasagaji.Sikuzote jibu langu kwa ajionae yupo perfect na mie ni mdhambi ni "sawa Mkuu"